Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

ya ya ya ya we hujui, kweli binaadamu tunatofautiana, mimi wakichomekea hayo madera yao kwenye chupi afu ukute kafungasha yani hadi mate yanamwagikaga. NINAPENDA MNOOO
 
Nimebahatika kuto kukutana na hii kitu.. Ila tu kwa kufikirika, mkono wa sweater would be a turnoff for me. Unajua haya mambo yapo ki art zaidi; uwakilishwaji wa hilo jambo. Mfano Hoshea unasema you get turned off by ladies wanao tusi... Naweza opinionate kuwa inawezekana tu hujampata a lady who is ambae ni mtaalam wa kukutukana na ukajikuta wafurahia hayo matusi (watoto wasisome hii post tafadhali), yule ambae ukamuona toka uliko toka kuwa ako decent na wala huwahi msikia katusi toka umfahamu... Then from no where mpo faragha na she sofly tukanaz you in your ear, softly, kama hataki, kama anakupuliza, kama anataka kukung'ata but in a way kama vile she is not even sure nini anasema... Out of curiosity's sake would you still be turned off?

kusoma tu imesisimua ,tunaita "DIRTY TALKS HIZI" kiswahili chake sikijui ila inaturn on kwa baadhi yetu.

natumaini u mzima dada yangu
 
mwanaume asiependa kuoga, yaani ukimkaribia tu unasikia kiharufu, nguo za ndani hafui, yaani boxer nyeupe imegeuka kijivu dah balaa tupu
 
Anayejisifia bila mpango ooh baba alikuwa na benzi , mdingi katupa hiki nk tena hata hamjazoeana tu someone comes with all the pride (which none of them is due to her efforts)

Anayetafuna mdomo wazi-kama anakula gundi afu anajilamba vidole vyote- a date might just end there, worse enough akiwa na kisu na uma akiongea anakunyooshea wakati mwingine unakwepa asikuchome and the moreukimwambia harekebiki

Uchafu- Hata apake lipstick na powder kiasi gani

Over makeup - wanja kama mkaa , sometimes kama ka ghost hivi. Wigs zisizoendana-in short over cosmetics just spoils everything no matter what.In a date mtu aliyejiremba over and above hawezi hata kuwa free, all the time ajistukie mara the fake eyelashes may drop , mara the fake nails may drop basi shida tupu

Ubishi- hata kama kitu ni so evident bado mtu anabishaaaaaaaa- thats really a turn off
 
Nimebahatika kuto kukutana na hii kitu.. Ila tu kwa kufikirika, mkono wa sweater would be a turnoff for me. Unajua haya mambo yapo ki art zaidi; uwakilishwaji wa hilo jambo. Mfano Hoshea unasema you get turned off by ladies wanao tusi... Naweza opinionate kuwa inawezekana tu hujampata a lady who is ambae ni mtaalam wa kukutukana na ukajikuta wafurahia hayo matusi (watoto wasisome hii post tafadhali), yule ambae ukamuona toka uliko toka kuwa ako decent na wala huwahi msikia katusi toka umfahamu... Then from no where mpo faragha na she sofly tukanaz you in your ear, softly, kama hataki, kama anakupuliza, kama anataka kukung'ata but in a way kama vile she is not even sure nini anasema... Out of curiosity's sake would you still be turned off?

Sorry, Dada..off topic.
Hiyo kwenye "red" ... lafudhi hiyo nimeisikia Mombasa?:confused2:
 
am turnd off wit men who r so much proud of themselve, anakupa ultmatum ya maisha in 1 day out. Most of them nawaona waongo na wananiboa mbaya. I love smart, inteligent n les talkative men! They tok wen needed.
 
Inaonekana bado ujakutana na mkono wa sweta siku ya kuja kukutana nao ndiyo naomba uweke comment yako hiyo, mimi naona utaendelea kuwatafuta hao wenye mikno ya swetw
Miss you more dearest, You good? Mkono wa sweater ni ambae hajabahatika kupitika mkasi... (ama panga kwa wamasai.. Lol)

Alafu hiki kikombe cha Hoshea... Sijui kwa nini kinanikumbusha @LD
 
Body ordours? Mdomo, kikwapa, viatu, makalio, naniliu, you name it. Cleanliness is next to Godliness, so they say. A man gotta have a sexy cool scent!

And brains too ofcoz. Mwanaume akishakuwa intelligent, you can reason out anything with him.
 
Harufu! Hasa huku maeneo ya chini kwenye kijiji cha wavuvi kuna mtu akitoa tu chupi akatanua miguu hyo harufu umeme lazma ukatike mwilini lol!
 
Back
Top Bottom