Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

Uongo una-spice up mambo lol

Mimi ni pale anapokua MUONGO, inanifanya nisimwamini na kupoteza upendo wangu wote kwake na pia namuona she is not a beauty like first time which i love her.

Mapenzi ni kupendana na kuwekana wazi kwa yale yote yanayotutokea na sio kufichana kwa jambo lolote lile.
Pindi tutawekana wazi itatufanya tuonane wenye kuvutia kila wakati hii itatufanya kuliimarisha penzi letu.
 
Turn off yangu,toes zenye kucha fupi,bora aende salon aweke hata artificial..
Hata fingernails,zikiwa fupi,dah... Kwa mfano wanaopenda kuzitafuna,ndo kabisaa, hata uwe na face na shape kiasi gani..
Unanikata stimu..
 
Dah mimi aisee mwanamke mwenye kitambi! Mama yangu weeeh japokua nilikuaga na fantassy za Preggi sex ila kitambi no namtimua balaa! Kuna siku nilijaribu kujilazimisha ili nizoee so nikachukua demu flani ana kitumbo hivi! Yaaani kufika ndani alivyovua tu hata sikuweza kuendelea nikavaa suruali yangu na raba zangu nikasepa! Yaaani ni kama huwa nasikia kichefuchefu
 
Wanawake wanaonguruma tumbo. Tumbo likinguruma ndiyo mwisho wetu, sipendi kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ha ha ha ha ha ha!hii imekaaje?linaunguruma tu bila sabab?au mkigusanisha ma2mbo unackia mingurumo!
 
ha ha ha ha ha ha!hii imekaaje?linaunguruma tu bila sabab?au mkigusanisha ma2mbo unackia mingurumo!

Linanguruma tu bila ya sababu. Mkikaa sehemu iliyotulia mnapiga story linakuwa linatoa mingurumo hadi unalisikia. Sijui ni ugonjwa gani ila kuna baadhi ya wanawake wana hili tatizo. Inaniudhi sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Linanguruma tu bila ya sababu. Mkikaa sehemu iliyotulia mnapiga story linakuwa linatoa mingurumo hadi unalisikia. Sijui ni ugonjwa gani ila kuna baadhi ya wanawake wana hili tatizo. Inaniudhi sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha huyo labda tumbo lake lina turbo ya gari, ebu siku moja mwambie akimbie umpime bila shaka atachomoka kama usain bolt!
 
Kweli human wants are unlimited and unique! mimi kikubwa ni usafi wa mwili kwa nje na ndani, hapo swafii! vice versa is very true..
 
akizingua kutumia mpira. namtema hapo hapo nakwenda kuchukua mwingine :A S angry:

Mkuu Blaine namna hii basi napredict wewe ni chovya chovya lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwapaaaaaaa.. Baadhi ya wanaume jama kwapaaaa kaaaa!

Na kutokunyoa huko down stair, mwingine hapendi kunyoa na hata akipewa ofa ya kunyolewa anajibaragua alaaaaa..

I hate lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aisee mie mwanamke asiyejua kujistiri hasa wale mabingwa wa kuboost na kuacha mapaja yao nje kila mara hali kadhalika na vitovu wakati maisha yao ni chini na usafi ni third option,unakuta pindo za brazia chafu kama wiper ya gari,mapaja,tumbo au kiuno vimepauka na mabaya zaidi kachomekea dera kwenye chu** yaani hata awe na sura gani kamwe....
 
Goodmorning ladies and gentlemen of MMU, how are y'all this sexy morning.

Ok lets get to the point.

What's yo biggest turnoffs to the opposite SEX, yani kipi haswaa ukikiona labda kwa msichana mzuuuri alekuvutia au mkaka HB kinakushusha morale yote, inaweza ikawa tabia yake au mazoea anayo au ndivo anavoongea, akikifanya it tends to turn off ile desire yote you had towards her/ him, hamu yote inakufa palepale despite her/ his beauty, unakuwa hutaki tena kumwona wala ku meet nae while u had a big crush on him/ her.

mimi hapa i get turned off by insultive ladies, wanotukanatukana.

Tell us yours, lets share guys, inakuwa kamsaada eti unakuwa aware somehow u know.


uchafu wowote ,kuanzia mwili mpaka mzingira anayoishi ....bad smell, poor upstairs , sauti mbaya ,asiyeweza kuzungumza (kujikuta mpoleee au hawezi kujitetea)....
dah! mbona vingi
 
Back
Top Bottom