Young Lunya ana u-GOAT gani?

Kwa kizazi Cha Sasa au
Unajua problem ya kizazi cha sasa ni kwamba sh*t is too modernized. Naona hata marapa wenyewe wanasifiwa ukali ila sioni ukali wao sijui JuiCeWrD kina Young boy NBA, blue face etc. Creativity naona kama hamna, hebu take back yourself back in days halafu niambie ndio uko umetulia unasikiliza ngoma kama G - Code ya geto boys, au ngoma kama Triumph ya Wu Tang Clan
 
Hah wanasema game lime change but trust me wakali wapo tena Hawa Hawa wa kizazi kipya but hawaendi mainstream,real hip hop imeonekana Kama sio radio Friend,..
 
Lunya anajiita Goat kama fashion tu, kafanya Goat liwe sehemu ya nickname yake.

Sio tu kwamba hana vigezo vya kuwa Goat katika hip hop kiujumla bali hata kuwa Goat kama muwakilishi bora wa hip hop Kiwalani pia amekosa hiyo sifa.

Ana flows nzuri ila utunzi ni zero, anapayuka sana na kuunga unga vina.

Wasiojua mziki wa Hip Hop wanaweza kumuona jamaa ni bonge la mchanaji lakini kiuhalisia hata kwa Cadgo hafiki.

Lunya angempata mtu wa kumtungia mashairi mazuri nilikuwa namuona mbali kuliko hapa alipo.

Kwasababu ana ufundi wakutulia kwenye beat plus na ile kitu ambacho modern rapper wanapenda kukifanya (swagga)
Kad twende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom