Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Sikatai kuwa jo ni mkongwe ila media hasa zile zinazokaliwa na watangazaji wachaga wamekuwa wakilazimisha kutuaminisha kuw joh ni mkali kuliko wengine kitu ambacho sio kweli yaan joh huwa anahit hata akiimba ujinga tofauti na marapa wakali kama fid q au roma wanatoa nyimbo kali ila huwa zinabaniwa ila joh anapewa promo sana kuliko uwezo wake jamani
Hna uhakika Joh Makini ni mchaga au Mmasai wa Arusha mjini?
 
Sioni anapobebewa huyu joh,ni mkali tokea wayback halafu pia ni mjanja,anajua soko la muziki linataka nn
 
Yeyote anayesema Joh anabebwa na awe wa kwanza ngoma tu ya Joh anayohisi imebebwa na media.
 
joh ni rapa mkali sana hakuna asie jua hili ila kuna media na mapresenter wakaskazn wanatka kutuaminisha kuwa joh ndie rapa mkali kuliko wote bongo kitu ambacho s kweli, nb joh kwa kimataifa endelea hvhvo kuimba commercial utatoboa kma marapa wa sauz

kwa hiyo hao presenter wanaweza kusema wewe demu mzuri kuliko wote na ukaamini...
 
Huyo mtoto laana ya kumdiss Joh itamtafuna na hatahit tena, mwamba ndio kwanza anavuta waya
 
Back
Top Bottom