Siungeenda post kwenye uzi wa simba, uwe msitaarabu.Mungu ibariki Zesco
.Mwenye link ya kuangalia game naomba
Huna uwezo wa kunizuia ku post kitu humu,Hii ni JF, sio familia yako mkuu SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU.Siungeenda post kwenye uzi wa simba, uwe msitaarabu.
Hahahaaaa. Ama kweli Du Songo si watu wazuri Mtani.Huna uwezo wa kunizuia ku post kitu humu,Hii ni JF, sio familia yako mkuu SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU.
Nimemwambia sheria zake ampelekee mke huko Mama Anganile sio kuniletea mimi.Hahahaaaa. Ama kweli Du Songo si watu wazuri Mtani.
Hahahaaa. Usijali Mtani.Nimemwambia sheria zake ampelekee mke huko Mama Anganile sio kuniletea mimi.