Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu Haji Manara ana wivu sana. Hapendagi kuona mtu mwingine kutoka simba anawasifu wachezaji Wa Yanga, Bali yeye tu ndo afanye hivyo. Hiki hiki alikifanya Aishi Manula Haji alikja juu sana hadi akawabatiza Simba jina "Mnyero United" lakini yeye amefanya hivyohivyo na hatotaka mtu amkosoe.
 
Kuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" 😂😂😂

Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Hivi msimu huu Yanga imewahi kuongoza ligi hata kwa muda mchache tu?
 
Huyu Haji Manara ana wivu sana. Hapendagi kuona mtu mwingine kutoka simba anawasifu wachezaji Wa Yanga, Bali yeye tu ndo afanye hivyo. Hiki hiki alikifanya Aishi Manula Haji alikja juu sana hadi akawabatiza Simba jina "Mnyero United" lakini yeye amefanya hivyohivyo na hatotaka mtu amkosoe.
View attachment 1461320
Aiseee!! Hadi ropo ropo wao kashindwa kujizuia. Lol.

Back
Top Bottom