Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,839
- 6,388
Kuna muda nilikaa na wafanyakazi wenzangu tukaulizana hivi ni nani kati yetu anamiliki gari kali kama G-wagon na AudiRs7 kupitia ujira ule ule unaotokana na kazi yetu jibu likawa hakuna.
Tukaulizana tena ni nani kafanikiwa kujenga aprtments na hotel kubwa kama Serena na Ramada kwa kupita kuweka akiba na ujira ule ule wa kazi zetu jibu likafanana na lile la kwenye swali la kwanza.
Sasa hata wewe unaweza kujiuliza kwa kutumia Zile formula za Geometry na Calculus umefanikiwa kupata maisha ya ndoto zako??, Ati , kwa Zile principle za Archimedes au Mzee Newton , au ni nani amefanikiwa kupata maisha mazuri kwa kaelimu ketu haka haka ka kuunda sentensi kwa njia ya matawi jibu ni lilelile HAKUNA
Wazee wetu waliturithisha msingi wa kwanza ni elimu .,
Nasi tukaifuata hatuwezi walaumu wala kuilaumu elimu sanasana imetutoa katika kivuli kikubwa sana cha ujinga lakini Elimu yetu bado imeshindwa kutupa utajiri,ambao ndio silaha kubwa ya adui namba moja wa mwanadamu (Umaskini)
Tumeishi mara kadhaa na matajiri ambao huko zamani hadithi zao zinataja yakwamba, hawakuthubutu hata kufika darasa la 7.
Kwa bahati mbaya sana hata hiyo siri ya wao kuwa matajiri hawakupi
Vingenevyo utaskia kauli za kishujaa kutoka kwa motivational speakers, eti ukianza hata na nyoya la kuku linatosha kuzalisha kuku wengi ambao mbeleni watakuletea mamilioni. damn.
Tukielezana ukweli wengi wetu elimu imetupatia hela ya mboga tu na kubadilisha nguo na kulipia ada na mahitaji kadhaa.
Ambayo wengi wetu tunasema Alhmdullillah.
Ila ukweli kabisa ule utajiri wa bakhresa na Kina Mzee Alhaji Dangote una siri kubwa sana mabwana
I tell people the truth every day hakuna braah braah za eti ukauza ukwaju na barafu au visheti barabarani ukaangukia kuwa na pesa kama ginimbi.
You cant be rich without shady or dirty deals
Popote pale ulipo na utakapokuwako .
Whether in Africa,Europe or Asia
You must break the law to be wealthy
Steal tax evasion, scam people, na uchafu mwingine mwingine mwingine mwingi.
Otherwise you will end up like lazaraus.