You cant be a rich, without shady or dirty deals

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Kuna muda nilikaa na wafanyakazi wenzangu tukaulizana hivi ni nani kati yetu anamiliki gari kali kama G-wagon na AudiRs7 kupitia ujira ule ule unaotokana na kazi yetu jibu likawa hakuna.

Tukaulizana tena ni nani kafanikiwa kujenga aprtments na hotel kubwa kama Serena na Ramada kwa kupita kuweka akiba na ujira ule ule wa kazi zetu jibu likafanana na lile la kwenye swali la kwanza.

Sasa hata wewe unaweza kujiuliza kwa kutumia Zile formula za Geometry na Calculus umefanikiwa kupata maisha ya ndoto zako??, Ati , kwa Zile principle za Archimedes au Mzee Newton , au ni nani amefanikiwa kupata maisha mazuri kwa kaelimu ketu haka haka ka kuunda sentensi kwa njia ya matawi jibu ni lilelile HAKUNA

Wazee wetu waliturithisha msingi wa kwanza ni elimu .,
Nasi tukaifuata hatuwezi walaumu wala kuilaumu elimu sanasana imetutoa katika kivuli kikubwa sana cha ujinga lakini Elimu yetu bado imeshindwa kutupa utajiri,ambao ndio silaha kubwa ya adui namba moja wa mwanadamu (Umaskini)

Tumeishi mara kadhaa na matajiri ambao huko zamani hadithi zao zinataja yakwamba, hawakuthubutu hata kufika darasa la 7.

Kwa bahati mbaya sana hata hiyo siri ya wao kuwa matajiri hawakupi

Vingenevyo utaskia kauli za kishujaa kutoka kwa motivational speakers, eti ukianza hata na nyoya la kuku linatosha kuzalisha kuku wengi ambao mbeleni watakuletea mamilioni. damn.

Tukielezana ukweli wengi wetu elimu imetupatia hela ya mboga tu na kubadilisha nguo na kulipia ada na mahitaji kadhaa.
Ambayo wengi wetu tunasema Alhmdullillah.

Ila ukweli kabisa ule utajiri wa bakhresa na Kina Mzee Alhaji Dangote una siri kubwa sana mabwana

I tell people the truth every day hakuna braah braah za eti ukauza ukwaju na barafu au visheti barabarani ukaangukia kuwa na pesa kama ginimbi.

You cant be rich without shady or dirty deals

Popote pale ulipo na utakapokuwako .

Whether in Africa,Europe or Asia

You must break the law to be wealthy
Steal tax evasion, scam people, na uchafu mwingine mwingine mwingine mwingi.

Otherwise you will end up like lazaraus.
 
Primitive accumulation of capital its necessary evil kama unataka kua tajiri, hiyo ndo njia peke nchi za wenzetu ziliweza kutupita haraka.........pesa ya mshahara au ya kuuza madafu haiwezi kukupa utajiri, labda uingie kwenye siasa uibe pesa za umma kwa kujifanta mzalendo, kama wana siasa zetu.
 
Haya ni mawazo ya kipebari bila shaka, maana ubepari huwaza kumiliki Mali. Mali huleta nguvu, ushawishi na mamlaka. Utajiri huja Kwa watu wautakao, tena huja Kwa maarifa makubwa, utajiri unaumbwa Kwa maarifa sio akili! Utajiri upatikanao Kwa njia haramu haudumu bali hupitao kwenye mikono salama hudumu kizazi hata kizazi......
 
Huo utajiri wa njia halali utaupata wapi ndugu, labda unamanisha za kawaida za kujikimu, huo sio utajiri. Mtu amiliki hotel ya 5bn shilling ufikirie kwamba hiyo pesa kaipata kwa njia sahihi kweli?
 
wamerudi tena kuhalalisha dhuruma..... eeeh Mungu tuokoe
 
Haya ni mawazo ya kipebari bila shaka, maana ubepari huwaza kumiliki Mali. Mali huleta nguvu, ushawishi na mamlaka. Utajiri huja Kwa watu wautakao, tena huja Kwa maarifa makubwa, utajiri unaumbwa Kwa maarifa sio akili! Utajiri upatikanao Kwa njia haramu haudumu bali hupitao kwenye mikono salama hudumu kizazi hata kizazi......
Motivational speaker
 
Primitive accumulation of capital its necessary evil kama unataka kua tajiri, hiyo ndo njia peke nchi za wenzetu ziliweza kutupita haraka.........pesa ya mshahara au ya kuuza madafu haiwezi kukupa utajiri, labda uingie kwenye siasa uibe pesa za umma kwa kujifanta mzalendo, kama wana siasa zetu.
Jamii nyingi hapa bongo walifanya primitive accumulation of capital na ndio wansambaza kwa vizazi vyao ila ndani yake kuna wizi na utapeli.

Miaka ya nyuma enzi za Nyerere watu waliiba sana na kujimilikisha mali zlizoachwa na wakoloni kama zao na ndio zimewapa utajiri ,kipind hicho media zilikuwa hakuna wala internet kimya kimya.

Nyerere alishindwa kusema maana alizidiwa nguvu ila alitoa onyo "watu wa jamii fulani wasipate uongozi" hao ndio walifanya uwizi mkubwa na kujimilikisha mali hata pale kariakoo.
 
Ila ukweli kabisa ule utajiri wa bakhresa na Kina Mzee Alhaji Dangote una siri kubwa sana mabwana
Mara baada ya kutafuta na kukosa sana (Bado naendelea kutafuta) nimegundua siri kuu kuhusu utajiri ni:

1) Kurithi ( Uukute tayari wewe ni kuendeleza tu, karibu matajiri wakubwa wote wa bongo hii mbinu wanaitumia)

2) Bahati: Umeenda kuchimba madini ukabahatika, umeenda kufanya ujambazi, ufisadi, uwizi n.k halafu hujakamtwa, umeshinda bahati nasibu, umekwepa rushwa ukapenya!

Nb: Kwa jinsi mfumo ulivyo ukiufuata unakuwa na maisha ya kawaida yaani nyumba na gari ambavyo si utajiri!
 
Wealth comes after serious and excessive exploitation and leveraging of other people or other people's resources.
Ni vile ukaambiwa ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia peponi.
Sadly hata huko peponi hatuna uhakika kama hawajajaa matajiri, the game is rigged usishangae na peponi wakawepo hao hao matajiri, baada ya exploitation they repent and give a little back to the community in the name of charity !
 
Back
Top Bottom