You broke my heart cacico...!!!

hivi sasa shostito cacico! haya ndo ya mzigo mzito mpe mnyamwez aubebe au? to me i think Young_Master anapaswa kujua kwamba humu jamvin ni utani tu bana asiyaweke kuwa ya ukweli manake akienda kwa stail hizo mbona ataumia kweli? ila na wewe ulianzaje....................?????????
mi cku zote najua ni utani! ckujua kuwa ye kafanya kweli, hata hii ya leo nadhani ni utani tu bwana! mmmmmmmhhhhhhhhhhhh!
 
gfsonwin si unipe offer leo brajec ya wine jamani??? ninyweeeee! nipunguze stress na machungu ya ulimwengu huu,, kha! hivi shemeji Kaizer yupo wapi mbona kimya? msalimie sugar Asprin kama umenioneapo mahali! kha!

shostito leo from saa tano naingia maabara hadi saa kumi hivi nina wadudu wa kuwafanyia isolation kwa ajili ya ile study so you can imagine how busy and shorter the day will be. najua nikishaingia kwenye safe cabinet hutonipata hewani tena ila usiboreke mamii. BTW Kaizer leo anaziba pancha sijamtia mbonini since ijumaa na huyo mpenzio Asprin ndo kuzidi manake niliskia crane la tics limemchota sijui limemtupia wapi.
 
Last edited by a moderator:
mi cku zote najua ni utani! ckujua kuwa ye kafanya kweli, hata hii ya leo nadhani ni utani tu bwana! mmmmmmmhhhhhhhhhhhh!

lakin hope ni utani hamaanish ma dearest ingekuwa kule mmu ningesema kweli ila humu chit chat hana lolote huyu kaamka na hang over za mabia kaona aanze wiki na wewe si unajua mambo ya blue monday?
 
shostito leo from saa tano naingia maabara hadi saa kumi hivi nina wadudu wa kuwafanyia isolation kwa ajili ya ile study so you can imagine how busy and shorter the day will be. najua nikishaingia kwenye safe cabinet hutonipata hewani tena ila usiboreke mamii. BTW Kaizer leo anaziba pancha sijamtia mbonini since ijumaa na huyo mpenzio Asprin ndo kuzidi manake niliskia crane la tics limemchota sijui limemtupia wapi.
shemeji Kaizer njoo pulizzzz uninunulie wine, mkeo atakuwa busy leo! ODM muache tu ajifiche huko alipo, najua atanitafuta tu akija, though nimesikia jana alilala nyumba ya kati kwa Yummy!
 
Last edited by a moderator:
lakin hope ni utani hamaanish ma dearest ingekuwa kule mmu ningesema kweli ila humu chit chat hana lolote huyu kaamka na hang over za mabia kaona aanze wiki na wewe si unajua mambo ya blue monday?
this is chit chat my dada, la humu huwa silitilii uzito wala maanani, nakuunga mkono yawezekana ni hivyo, kha, bora umekuja gfsonwin nimepata ahueni lol!
 
Last edited by a moderator:
mi chokaaaaa, mi hoiiiiiii! tukutane brajec jioni pulizzzzz, maana nahitaji kumaliza mzinga wa wine kha!

ma dearest nakupendaje? ila nimebanwa wewe hawa wazungu watazaa na mimi aisee nisipokuwa makin ngoja nikomae nao kwanza. the problem is baada ya lab work huwaga sijiskii vizuri kukaa mahali manake huwaga nahisi mwili wote unavijidudu so huwa napenda nirudi home soon kuoga. kweli au nitaogea kwako manake nirudi home kwangu kisha town ntachemka.

masharti ya kukutoa leo nguo mpya itakuhusu tena, manake sitakuwa naya kubadilisha
 
Ohoooh! mi nilijua ni kweli, sasa we ulikuwa huoni mwenzio alivyokuwa serious hadi anatupiga mkwara sisi wengine hapa!

weye nawe! asa mtu uwe serious na mabwana wa humu jf si utaua chizi manake unataniana na wangapi? lkn mbona yeye mwenyewe kakimbia aje atuambie kama ni kweli basi shostito cacico utakuwa umeponeapo nyota ya jah imekudondokea yaan mtu akupende thru hizi post tu?
 
Last edited by a moderator:
shemeji Kaizer njoo pulizzzz uninunulie wine, mkeo atakuwa busy leo! ODM muache tu ajifiche huko alipo, najua atanitafuta tu akija, though nimesikia jana alilala nyumba ya kati kwa Yummy!

haya kazi ipo sasa subiria na huyu Kaizer na Asprin wafanye kweli utakoma manake .................. but ummu kulthum ni kiona mbali kweli aisee big up mdada.
 
Last edited by a moderator:
weye nawe! asa mtu uwe serious na mabwana wa humu jf si utaua chizi manake unataniana na wangapi? lkn mbona yeye mwenyewe kakimbia aje atuambie kama ni kweli basi shostito cacico utakuwa umeponeapo nyota ya jah imekudondokea yaan mtu akupende thru hizi post tu?

Haaah! maumivu ya kichwa huanza polepole bana!! mbona Cacico mwenyewe hakukanusha hata maramoja, hujui kuna ile methali inayosema "Msikitini ukimchekea atakufuata hadi mbwa!?" teh teh teh
 
mamaangu alikosea kunioshea ule mti wa mpendampenda, naona unaleta balaa sasa, maana sielewi na sitakaa nikaelewa, itabidi nitafute mmavimavi nifute hii nuksi, nisijesababisha madhara zaidi kha!
 
sikukanusha coz nilikuwa najua ni utani, tena zaidi ya utani! sa ndio nashangaa haya, yawezekana hata haya ni utani tu, ni katika kuifanya chit chat ichangamke Pombekali
 
Last edited by a moderator:
hihihihihihi pole mwayego...
chezea viuno vya babu Asprin weyeeee
mke mwenzangu upo?? jamani leo nadhani ni zamu yangu kulala na ODM, Mbona we na Yummy mmemshika hivyooooo?? kha! hebu muachieni kidogo aje anitulize yangu nafsi kha!
 
Last edited by a moderator:
ma dearest nakupendaje? ila nimebanwa wewe hawa wazungu watazaa na mimi aisee nisipokuwa makin ngoja nikomae nao kwanza. the problem is baada ya lab work huwaga sijiskii vizuri kukaa mahali manake huwaga nahisi mwili wote unavijidudu so huwa napenda nirudi home soon kuoga. kweli au nitaogea kwako manake nirudi home kwangu kisha town ntachemka.

masharti ya kukutoa leo nguo mpya itakuhusu tena, manake sitakuwa naya kubadilisha
utaoga kwangu na kubadilishia kwangu, mavazi yetu ni yaleyale ya jmosi so no problem, design zile ninazo kibao, kha, usikoseje sasa??
 
Ohoooh! mi nilijua ni kweli, sasa we ulikuwa huoni mwenzio alivyokuwa serious hadi anatupiga mkwara sisi wengine hapa!
poleni kwa mkwala nadhani hata huo mkwala alikuwa anatania tu, kha! mkwala kwangu au kwa comments zangu jamani?? Pombekali mzima weye lakini? wajionaje hali?
 
Last edited by a moderator:
mamaangu alikosea kunioshea ule mti wa mpendampenda, naona unaleta balaa sasa, maana sielewi na sitakaa nikaelewa, itabidi nitafute mmavimavi nifute hii nuksi, nisijesababisha madhara zaidi kha!

sasa shida iko wapi? njoo nikupe mfurusadi ukiwa na mmavimavi haya yote kwisha habari yake. hatotia mtu maguu kwenye himaya ya mukenya chezeya magwiji weye....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom