Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
- #81
hivi yule mc wa nini jamani?/ labda michiriku! kha! ma mc wengine mbona taabu!wapi MC DEVI jamaniiiiiiiiiiii! konyagi halo halo............................wine halo halo..........................wapiiii shoatito brenda?? lolest hebu tufanye kazi aisee namisije mamitoko yetu? mwambie Young_Master akitaka moyo tuugandishe alete ngawira zinahusu sana tu. wine hatukopi atii tunanunua na nyagi yanunuliwa atii.
kesi ya kunguru ukampe mwewe, mhhhh......!
heheheheiya, naomba kutuma salamu kwa makungwi na masomo wote especialy tanta boy popote walipo! ujumbe kuna mwenzenu anawakilisha huku, wasindikizwe na wimbo wa taifa, ILI KULIENZI TAIFA LETU KHA!na hu ndio ujanja wa mjini maji yapime kina kwa kijiti, umeona yakiwa marefu unasepa fast hivi unajua mambo ya ushanging wa jiji? mwenye kisu kirefu ndiye mla nyama. Jipime kwanza kabla kumwaga swanga sasa hata kama miye ukinitokea shangingi kama mimi wafikir nafanyaje nakupiga chini tu. manake mimi zangu gia 16 high na low manual na ni mbaula abnormal wide load,sasa weye umezoe gia 5 automatic vya kivitz hili hata stata utapiga kweli
MMMHHHH! speechless in whom ones voice?? u knw it!Sasa je...!!! Mwewe si ndo ataisolve vizuri?
[/QUOTE]
[/QUOTE]chezeiya kibabu weye?? kikiona usiku hakioni wakati wa ukaguzi fasta kinawasha tochi au koroboi! hakifail kabisaaaaaaa! mi luv him bwana, mke mwenza mi luv u too, umekubali tushee, mwahhhhh!
gfsonwin said:mmh! kazi ipo duniani hapa..........ila ukweli vibabu vinajua kupakata acha masihara, hawa vijana wa bbm wanaoish kwa theories bana mizinguo mitupu.
kha! shemeji ukinionea homie wako, mwambie nimemiss akam this way, kha!