Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Mi ukinambia sio type yako inabidi unioneshe kabsaa huyo taype yako yupoje!!!!!
Hata sisi tunakataliwa binamu
Mi ukinambia sio type yako inabidi unioneshe kabsaa huyo taype yako yupoje!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri. Kwani mapenzi lazima jamani lohkuweni makini wanaume wengine ni machizi wa akili mjibu hovyo alafu aje kukuchinja nadhani umesikia kwenye vyombo vya habari swala kama hilo , mnashida sana wew huna habari unatembea kumbe kuna kichaa fresh anakupigia mehesabu alafu unakuja kumchambua kwa nyodo ataondoka na titi moja hilo.
Madem wataalam wakiona vidole vyako vya mkononi tu wanajua kidole chako cha sirini kilivyo.
Ndoivo aiseeKabisa ili uweke kwenye uzani
[emoji23][emoji23][emoji23] haikuhusu, we chukua jibu lako nenda
Wengi tu. Wengine member wa hapahapa Jf
Hapana mama hiyo kauli haiko sawa.Najua hauko hivyo mwanangu nimekulea vema kabisa