Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,144
Bora umchane live kuondoa usumbufu
Basi tu alinikuta na mimi mstaarabu sina mdomo mchafu ila vinginevyo nimgemjibu vibaya maana hata siku moja sipendi mtu anidharau na anichukulie kama malayaHuyo nae hakuwa anakutongoza.
Naona alikuwa anataka kukununua. Tena ungemtemea na mate kabisa. Ulimwachaje hivi hivi mtu asiye na adabu.
Basi tu alinikuta na mimi mstaarabu sina mdomo mchafu ila vinginevyo nimgemjibu vibaya maana hata siku moja sipendi mtu anidharau na anichukulie kama malaya
Inawezekana pia ikawa hivyoYawezekana alikuwa akuchukulii Malaya ila utakuta yupo Too straight forward japo maneno aliyotumia ni mazito
Kwani kuna haja ya kumweleza hayo maneno maisha yanazunguka kuna siku atakuwa type yako huwezi jua maisha haya. Kama humtaki mtu tumia neno la busara achana naye. Kwa mtazamo wangu
[/QUOTE
Wakatae kiakili sio kikauzu hivyo!
Wanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi?
Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.
Kwenye mapenzi kila mtu kipo anachopenda iwe ni katika mwonekano au personality kiujumla. Wapo wanaume wanapenda chubby girls, wengine wanapenda English figure, wapo watu wanapenda mtu mchangamfu, anayeweza kufanya acheke muda wote lakini wengine wanapenda makauzu, kuona jino lake mwaka mpya hadi mwaka mpya. Kwa hiyo akikutana na wewe upo kinyume cha hapo ni kwamba wewe si type yake.
Japo si busara kumchana mtu live kuwa 'wewe si type yangu' lakini haina haja ya kukasirika, kuumia na kujenga chuki ukisikia kitu kama hicho. Maana wengine wakiambiwa hivyo wanaanza kuchambua demu mwenyewe miguu yote ya kushoto, sura kama anaramba ndimu anawezaje kutamka maneno kama hayo? Relax, kunywa maji then tafuta wa kufanana na wewe, yupo mahali anakusubiri.
Pengine kilichomfanya Diana asikupende ndio hichohicho kitakachomfanya Mwajuma asilale kwaajili yako.
Thanks
Hahaha kuna kipindi nadhan 2013 kama 2014 nioo moshi nafanya shoping kile kipindi maduka ya jeshi yamepata umaarufu sana kwa uzaji bidhaa kwa bei nzuri na pungufu..Wanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi?
Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.
Kwenye mapenzi kila mtu kipo anachopenda iwe ni katika mwonekano au personality kiujumla. Wapo wanaume wanapenda chubby girls, wengine wanapenda English figure, wapo watu wanapenda mtu mchangamfu, anayeweza kufanya acheke muda wote lakini wengine wanapenda makauzu, kuona jino lake mwaka mpya hadi mwaka mpya. Kwa hiyo akikutana na wewe upo kinyume cha hapo ni kwamba wewe si type yake.
Japo si busara kumchana mtu live kuwa 'wewe si type yangu' lakini haina haja ya kukasirika, kuumia na kujenga chuki ukisikia kitu kama hicho. Maana wengine wakiambiwa hivyo wanaanza kuchambua demu mwenyewe miguu yote ya kushoto, sura kama anaramba ndimu anawezaje kutamka maneno kama hayo? Relax, kunywa maji then tafuta wa kufanana na wewe, yupo mahali anakusubiri.
Pengine kilichomfanya Diana asikupende ndio hichohicho kitakachomfanya Mwajuma asilale kwaajili yako.
Thanks
Hahaha hii waione wanaosema pesa inahusika kwenye typeHahaha kuna kipindi nadhan 2013 kama 2014 nioo moshi nafanya shoping kile kipindi maduka ya jeshi yamepata umaarufu sana kwa uzaji bidhaa kwa bei nzuri na pungufu..
Mwanaume ktk harakati za manunuzi mara friji mara feni vyombo vya ndani rice cooker kuna binti muuzaji akawa anajileta sana na kweli alikuwa na mvuto nami nkajaa vzr na tip za hapa na pale, nakumbuka siku nilikwenda kwake kumtembelea kuweka mambo sawa akawa ametoka nje kidogo jiran yake nadhan alimwita mazungumzo kidogo nkasikia wakinong'ona vp shem nn majibu yake yalinivunja nguvu et aaah wapi sio type yangu hiyo..
Toka pale sikuwa na time nae tena hata nkienda kununua vitu dukan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kuna kipindi nadhan 2013 kama 2014 nioo moshi nafanya shoping kile kipindi maduka ya jeshi yamepata umaarufu sana kwa uzaji bidhaa kwa bei nzuri na pungufu..
Mwanaume ktk harakati za manunuzi mara friji mara feni vyombo vya ndani rice cooker kuna binti muuzaji akawa anajileta sana na kweli alikuwa na mvuto nami nkajaa vzr na tip za hapa na pale, nakumbuka siku nilikwenda kwake kumtembelea kuweka mambo sawa akawa ametoka nje kidogo jiran yake nadhan alimwita mazungumzo kidogo nkasikia wakinong'ona vp shem nn majibu yake yalinivunja nguvu et aaah wapi sio type yangu hiyo..
Toka pale sikuwa na time nae tena hata nkienda kununua vitu dukan
Sent using Jamii Forums mobile app

alitaka akuchuneee tuuMnajijua wenyewe hahaHahaha hii waione wanaosema pesa inahusika kwenye type
Hahaha noma sanaHiyo sentensi ikiwekwa kwa kiswahili sio tatizo Sana, Ila kimalkia lol n patashika haswaaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nini kimekutuma kuja kufukua nyuzi za mwaka juzi
Hahahah mpo vzuri kwakweliHahaha kipenda roho babu