You are not my type

You are not my type

Ni poa tuu kwa roho safi...

Ila kwa sisi wanaume.. hatunaga "She / You are not my type" Instead tuna " Mbuzi kafia kwa muuza supu"

Wanawake ndiyo mna hizo za " He / You are not my type... alafu jamaa akihamishia majeshi kwa mwingine mnanuna...

Cc: mahondaw
 
Hahaha kuna kipindi nadhan 2013 kama 2014 nioo moshi nafanya shoping kile kipindi maduka ya jeshi yamepata umaarufu sana kwa uzaji bidhaa kwa bei nzuri na pungufu..
Mwanaume ktk harakati za manunuzi mara friji mara feni vyombo vya ndani rice cooker kuna binti muuzaji akawa anajileta sana na kweli alikuwa na mvuto nami nkajaa vzr na tip za hapa na pale, nakumbuka siku nilikwenda kwake kumtembelea kuweka mambo sawa akawa ametoka nje kidogo jiran yake nadhan alimwita mazungumzo kidogo nkasikia wakinong'ona vp shem nn majibu yake yalinivunja nguvu et aaah wapi sio type yangu hiyo..
Toka pale sikuwa na time nae tena hata nkienda kununua vitu dukan

Sent using Jamii Forums mobile app
We Jamaa yani vijineno kidogo hivyo vikakutoa kwenye mstari!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ukisikia maneno hayo bado utaendelea?
Kwa Scenario hiyo ningeendelea:

Nimemsoma ..Baada ya kukutana nae Supermarket wakajenga mazoea na mdada alionesha mwenyewe nia ya kutaka kuwa karibu naye.

Huwezi kukata Tamaa kumpigania mwanamke eti kwa kuwa ulimsikia akisema wewe sio saizi yake,Inawezekana aliongea hakumaanisha,Inawezekana alitaka kumzima tu jirani asiendelee kumfuatilia..

Si kila neno linalosemwa hutoka moyoni...(Tunajuaje labda jirani alimjua mpenzi wa Dada wa Awali???

Vyovyote itakavyokuwa ningeendelea mpaka mhusika mwenyewe aniambie kuwa mimi sio wa Saizi yake,

Ni mara nyingi tunaingia kwenye mahusiano na watu ambao sio saizi zetu...lakini tuna wa Impress waone Thamani yetu

Aww..you are one of the kind
 
Hivi kwa mfano mtu kakuambia shenzi type maana yake ndio inakuwa hiyo hiyo au??
 
Labda wana miguu minne na macho manne na nonino mbili I am just joking lugha ya kistaarabu ni nzuri sana mnaweza hata kuwa marafiki kisha ukamuona type yako hivyo kuanza kujipitisha pitisha AKA kujitongozesha especially if the lady is still single.

ni ubinadamu tu..kutumia maneno mazuri kama mtu sio wa 'viwango' vyako..

.kumuambia mtu sio type yake mie naona ni dharau!...

unamuacha mtu feeling inadequate....

..anawaza saa zote hao wa type yako sijui wakoje? lol
 
1.tako,mende ndio wanajua
2.rangi,kuna watu tunapenda tu aina fulani ya rangi mfano mi napenda pisi nyeupe
3.urefu na ufupi havina umuhimu
Kama wewe unavyopenda kuwa na pisi nyeupe (huna sababu ya msingi ila unapenda tu) ndivyo hivyo mtu anavyopenda kuwa na mtu wa rika fulani
 
Kama wewe unavyopenda kuwa na pisi nyeupe (huna sababu ya msingi ila unapenda tu) ndivyo hivyo mtu anavyopenda kuwa na mtu wa rika fulani

ila haimaanishi mwanamke mweusi akinipenda nitakataa,nikiona kanipenda nakua naye,so rangi sio kigezo cha umuhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom