ahsante sana,
you are not my type
muonekano wako pamoja na haiba yako haijanivutia haijalishi ni mrembo kama miss tanzania 2006 japokuwa wengine wanakuona ni zaidi ya malaika na wanatamani kuwa nawewe muda wote mpaka kifo kiwatenganishe.
you are not my type
unavutia kimaumbile lakini mfumo wako mzima wa maisha haunivutii,eg unapenda starehe, unapenda umaarufu.
you are not my type
upo tofauti kabisa na msichana ninayemtafuta ili tuanzishe mahusiano, mfano labda hajafikia umri fulani.
kwa mtazamo wangu kwa mazingira ya kwetu ni maneno ambayo unapaswa ujisemee zaidi nafsini mwako kwa dhumuni la kumuelezea mtu fulani pindi unapotaka kufanya maamuzi
nadhani ni maneno mepesi zaidi kuliko you're not attractive.