Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,156
Nyani ngabu mshenzi sana aliniudhi
Cc ngabu achaga nyodo bhana
They met when my pops was just a village broke ass nigga, but with a fighting spirit. They hustled together, and by the grace of God, Leo wanachekea kivulini. Wanapitia ups and downs , but they getting stronger everyday. Pops has been blessed with such a "ride and die woman". And nafurahia jinsi mzee anavyomuamini mama with their properties, hana presha hata. Mungu nitunzie wazazi wangu uuuh
He hee sijawahi kuambiwa live ila umenikumbusha jamaa mmoja humu alicomment 'am not his type'...
Uuh I'm truly humbled my dearMost of ma life, nothing has really excited me ....Heaven sent!!, ila kutokana na argument zako hakika wewe umeweza!
Endelea vivyo hivyo!
Ha haa unataka aje aendelee kujishebedua hapa ee... Am not his type
Kwa hiyo unajifanya diamond Co??maelezo nitakayo toa hapa yatajenga picha ni revenge wakati mimi natafuta tu justice ....naweza mkoleza akifika kwenye peek ya mahusiano yaani haoni wala hasikii mimi huyoooo nasepaa zangu
WE mrembo ubarikiwe bhana,namuomba Mungu iko siku uje unipendage bhana,mwenzio naumia lakini sina njia.santeeee
Kujifanya Diamond ndio nini ?Kwa hiyo unajifanya diamond Co??
Hii ilinitokea mimi.Does that phrase sound familiar ??
Ulisha wahi ambiwa hvyo na mpenzi wako au mtu wako wa karibu when dating ??
Ili kua kuaje ??
Ulijiskiaje ??
Ulichukua hatua gani ??
All is well once again, hope ur having a calm weekend.
Well nimependa tu niwaambie vijana wenzangu wanao pitia hali hii kwa sasa....kwamba sio wao tu tupo wengi tuliyokwisha yapitia hayo on different life circumstances...na leo wengine tumeshuhudia tukiandaliwa meza moja na hao hao watesi wetu.
Kikubwa jiamini, simama piga kazi kwa nguvu zote, focus more on ur life and happiness, the right one at the right time will come in ur life and stay na hao hao waliokuchukilia poa one day watasujudu.
Nimejisikia tu ku share after remembering some past memories in my life.
Regards
Senior Boss.
And what this "behind every successful man there is a woman" phrase for?? Man, this ladies bwana...
I kno man. Hata mm nimeshapitia hyo experience.Hii ilinitokea mimi.
Baada ya kumtongoza kwa muda mrefu akiwa ananikatalia sikilu zote, ilifikia siku baada ya kuchoka nikamwambia ''keep it on your mind kuwa nakupenda''
Alinijibu hivi "MY MIND IS FULL, I CAN'T ADD ANYTHING"
Jibu hili liliniumiza sana, na lilinivunja moyo kabisa, hadi mwenyewe alilitambua hilo.
Nilighairi kumfuatilia, but a month later alianza kuja mwenyewe.
He hee haya banaNani huyoπππππππ?
Na ilikuwa kuwaje hadi akakwambia hivyo mrembo 'top notch' kama wewe?
Alikuambia wewe moja kwa moja au alikuwa kwenye mazungumzo na mtu mwingine?
Let not your heart be troubled. It was his loss, not yoursπππππ?
Now you have his carte blanche to cuss him out.
Better use the opportunity now 'cause it's a rare one.
Lightning may never strike twice. Don't pass up on it.
ππππ
Mrembo kui mamboHahaaa, sasa hutaki?, na sasa we're right on your side making things happen, not even behind anymore..lol
He hee haya bana
Mrembo kui mambo
Ngoja nikakusanye hasira nitamrudiaCome on...he's waiting.
That window of opportunity to cuss him out without any repercussions is narrowing.
Make good use of it.
For those with mind hii kitu huwa inawajenga kuwa watu strong pyschologicalyBinafsi niliwahi kuambiwa kipindi hicho na kweli ilikuwa hivyo ila ilinisaidia.