"You are not my type"

We speak the same language boss
 
Whatever goes around, comes back around. Utakuja kuumizwa wewe, hata kama uko na mtu huna feelings nae muombe Mungu akupe suluhisho, na inawezekana mmoja wenu akahamishwa, au ukapata nafasi ya kwenda kusoma, naturally mnakuwa mmesolve the issue.
Action and reaction are equal but opposite in magnitude and direction.
 
Noma sana. Yani mtu aliyekuwa anakupa ushirikiano kwa hiyari bila shuruti kwenye 6X6 kwa nyodo na dharau anakudondoshea hili bomu. Ukiwa na kifua kidogo ni zaidi ya lililodondoshwa Hiroshima
 
sijui nilimtibua nini wakati tunachati...akaniambia hujawahi kuangalia hii namba kwa m-pesa ina jina la nani!
niliumia sana
 
Napenda sana wanawake wenye mafanikiwa ila naambiwa sio type yao bt wa type yangu nao siwatak sijui nifanyeje napenda kuwa namafanikio so wanawake wenye low income siwapend hata akiwa mzur japo na mimi ni wakawaida bt napenda bosslady tatizo siwapat
Daah pole sana nakushauri nenda kwa Karumanzira au Manyau nyau utapata tiba.
 
You said from my heart!

U know how to dance wisely!
 
Fisadi me nashauri msupport mtu wako but isizidi uwezo wako hata kama utaitwa majina gani sijui, coz hata ufanyaje majina utaitwa tu. Fanya ambacho moyo wako utaridhia period. Ila usiache dreams zako zikafa, au zikalala kabisa, kisa efforts zako zote umezihamishia kupursue dreams za mtu mwingine. Siku akikuacha its like your life has come to an end, huna chochote ulichojifanyia. Na wakati mwingine tenda tu wema uende zako. Kumsaidia mtu sio guarantee kuwa atakuwa na wewe milele
 
asanteee Nifah ngoja nikupe hela ukanunue pipi mamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…