"You are not my type"

Back then there were few if no gold diggers at all.. But in today's world, few and very few ladies can take a walk with you..

Si unaona hata humu wabeba box wanaonwa kama miungu watu hivi.. Struggle is real
Kwenda zako fisadi wewe...
Hata sisi back then there were real men,tofauti na nyie mnaotupanga msururu.
Inabidi tuwe magold diggers maana hakuna jinsi sasa.
 
Hapa umemaliza yote mama ,sina hata cha kusema tena
 

You are my type.

🙂🙂🙂🙂🙂
 
Hahahaha hapana aisee sister sina unyama nina roho moja ya huruma sana ,sema sasa mtu akivuka mipaka yake ,Repercussions zake zinakuwa mbaya sana ,kwa sababu nikishaamua jambo nimeamua huwa siangalii nyuma
Maasai ktk ubora wetu...heheheee
Mimi pia nina huruma and I usually give people more chances than they deserve but once I'm done...i'm done.
Period
 
Japo ni neno la kingereza lakini mara nyingi linapendwa kutumiwa na watu weusi katika kubagua watu katka sector nyeti ya mapenzi bt cku zote watu weusi wameyapa mamlaka macho yao yawaamulie hatma ya mioyo yao na nafsi zao
 
Kwenda zako fisadi wewe...
Hata sisi back then there were real men,tofauti na nyie mnaotupanga msururu.
Inabidi tuwe magold diggers maana hakuna jinsi sasa.
Daah Nifah,basi utusamehe mamii maana kupangwa foleni ndio mtindo wa kisasa maana hakuna jinsi na mpangwe tu tena huku mnakuja kinyumenyume bhana,maana dunia ya leo pesa ndio kila kitu mamii.
 
Ngoja nikumbuke......sijawahi kuambiwa 'you are not my type' labda kwasababu naangalia vizuri kabla ya kumtokea mtu.

Vile vile sijawahi kumwambia mtu 'you aint my type' ila honestly nishakutana na mtu na kimoyomoyo nikajisemea 'you aint my type dear'

Hivi vitu vipo kuna mtu unaona/mnaona kabisa hatuendani. Jinsi ya kufikisha ujumbe ndio inabidi ustaarabu uwepo.
 
Maasai ktk ubora wetu...heheheee
Mimi pia nina huruma and I usually give people more chances than they deserve but once am done...am done.
Period
Hahaha si unajua tena sie Wamasai tuna ile Sprit ya simba dume ndani yetu ,unakua na huruma lakini ukibadilika mpaka mtu anashangaa hivi ni huyu kweli au ana mapepo
 
Napenda sana ushauri wako..Heaven Sent

Mpaka imepelekea nimeanza kujenga picha kwenye ubongo wangu!

Nafuatilia sana comment zako.... U argue wisely!
 
Kwenda zako fisadi wewe...
Hata sisi back then there were real men,tofauti na nyie mnaotupanga msururu.
Inabidi tuwe magold diggers maana hakuna jinsi sasa.
Inabidi tufanye hivyo sababu na ninyi mwenye kisu kikali ndiye anayewala. Mtu akipanda dau basi unaachwa solemba..
 
Hahaha si unajua tena sie wamasai tuna ile Sprit ya simba dume ndani yetu ,unakua na huruma lakini ukibadilika mpaka mtu anashangaa hivi ni huyu kweli au ana mapepo
Ajajajajaaaa umemaliza yote,sina cha kuongeza tena.
 
Well said lakini ninyi mnatatizo moja kubwa.. Na hichi ulichikiandika ingawa ni kizuri lakini kina contradiction kibao..

Unaposema wanaume tufanye kwa kiasi, hicho kiasi kama kina athari kwenu huwa mnatuita majina kibao.. Mara mbahili au mwanaume suruali na atatafuta mwingine wa kuziba hiyo gap.. Na ukisema uhudumie full ndio hivyo wengi hawana assurance that we will die together.. Mifano iko mingi tu ya mwanaume anasomesha mpaka mtu anamaliza level fulani alafu unakimbiwa bila hata huruma..
 
Wewe shule yenu haijafunguliwa bado?,watu wazima wakiwa wanaongea wewe kacheze mchezo wa kujificha na watoto wenzio eennh umesikia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…