Yote njaa

Yote njaa

Nawa heshimu sana hawa akina mama wanao chapa kazi na kukimu matumizi ya familia zao . Kitu kimoja sisi watanzania tunajivunja moyo sana ( pessimistic ) angalia hilo sandaku alilo beba limeandikwa ' yote njaa'. Kazi ni wajiu wa yeyote alie na uwezo wa kufanya. Ingekua bora ingeandikwa mfano ''Juhudi ni mafanikio''
 
mafuta yakaangiayo hao samaki huwa hayabadilishwi kwa muda mrefu mno...

yakitiwa kwa karai basi hapo ni bandika bandua, yafanywa kuongezwa kidogo kidogo...
 
mafuta yakaangiayo hao samaki huwa hayabadilishwi kwa muda mrefu mno...

yakitiwa kwa karai basi hapo ni bandika bandua, yafanywa kuongezwa kidogo kidogo...

ila hatuumwi tunakula tu hivyo hivyo na siku zinaenda....!!
 
watu8 walaji ambao wanatafutwa na huyo mama hawajui hilo mkuu na kwao mradi samaki amekaangwa kanyaga twende
Unayejali ubora wa samaki na mafuta yaliyokaangia ni wewe ila wao huko hakunaga cha TBS au sijui Bwana Afya amefanya ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
sio maneno yangu, tazama picha vizuri

Ni ya kweli kabisa haya tena ni safi na tena dizaini hii wapo wengi ambao hutoka nje ya mada hiyo ni kukurupuka tu au keherehere walicho nacho wa viumbe
 
mafuta yakaangiayo hao samaki huwa hayabadilishwi kwa muda mrefu mno...

yakitiwa kwa karai basi hapo ni bandika bandua, yafanywa kuongezwa kidogo kidogo...

nnlishakutana na samaki waliokaangiwa mafuta ya kitimoto,
sitaki tena samaki wa sokoni.
 
nnlishakutana na samaki waliokaangiwa mafuta ya kitimoto,
sitaki tena samaki wa sokoni.


Duh pole sanaa


Mie kula vyakula sijawahi kununua kabisa mfano samaki,sijui kula kwa mama ntilie hapana bora nibebe changu mwenyewe najua ninepikaje mwisho wangu kununuani viepe tena huwa natizama mazingira kwanza
 
mafuta yakaangiayo hao samaki huwa hayabadilishwi kwa muda mrefu mno...

yakitiwa kwa karai basi hapo ni bandika bandua, yafanywa kuongezwa kidogo kidogo...

Na hapo ndipo biashara inapokosa sifa
 
nnlishakutana na samaki waliokaangiwa mafuta ya kitimoto,
sitaki tena samaki wa sokoni.

Huwa napata shida sana ninapotaka kununua samaki awe wa kukaanga au mbichi labda huko ferry maana nilimkuta mchuuzi wa samaki anawaosha kwenye mfereji wa maji yanayoka kiwandani na alikuwa anawapeleka sokoni Tandale kuanzia hapo sina hamu nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom