Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,375
- 111,702
ila hatuumwi tunakula tu hivyo hivyo na siku zinaenda....!!
Kuna magonjwa huwa hayaji kama malaria au tumbo la kuhara...
Ugonjwa kama kansa kwa sisi Wamatumbi tusiochekiwa afya ujikuta upo nao steji za mwisho huko...
Hivyo kutokuumwa umwa haimaanishi kuwa tungali salama...