Mbona ana sura ya babake?[/QUOTE
ukubwa dawa dada pole
Mbona ana sura ya babake?[/QUOTE
ukubwa dawa dada pole
Huyu binti wa Mramba ndo waliye zaa na mama Ana Mkapa?
Hii inthibitisha ule usemi wa cheo ni dhamana na sheria ni msumeno inakata huku na huku. Wakati wawakilishi wet wanapitisha sheria bila hata kuziadili hawafikirii kama siku moja sheria hizi hizi zitawahukumu wao wenyewe.Habari kutoka Kisutu hivi punde ni kuwa Mramba na Yona wamerudishwa Keko baada ya hakimu kukataa kuendesha kesi yao leo kwa sababu yeye hakuipangia isikilizwe leo wala hakutoa remove order ya kuitaka Magereza iwalete watuhumiwa hao mahakamani leo.
Kesi imepangwa kusikilizwa kesho
Habari kutoka Kisutu hivi punde ni kuwa Mramba na Yona wamerudishwa Keko baada ya hakimu kukataa kuendesha kesi yao leo kwa sababu yeye hakuipangia isikilizwe leo wala hakutoa remove order ya kuitaka Magereza iwalete watuhumiwa hao mahakamani leo.

Inasemekana wazee wameshindwa tena kukamilisha masharti ya dhaman hivyo wamerudishwa tena rumande!
Mh. Mwakenja hakuandika removal order! Hivyo hakuwa na taarifa ya wao kuletwa leo. Wamendikiwa kuja kesho na ndo atapitia hati za dhamana upya! Upo?
Huyu Hakimu ni Mzalendo kweli kweli. Tunawataka mahakimu wote waige mfano huo na iwe fundisho kwa wengine. Yaani kanifanya nijisikie kweli kuna watu bado ni waadilifu sana nchi hii na kuwa tunaweza kuibadilisha Tanzania inayoonekana kwenda kwa mafisadi.
![]()
Binti Aifena Mramba, mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Bw. Basil Mramba akitoka Kanisa la Mt. Petro Oysterbay, Dar es Salaam jana mara baada ya kufunga pingu za maisha na Bw. Evans Msiba. Bw. Basil Mramba alikosa kuhudhuria harusi ya bintiye baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana licha ya unafuu uliotolewa na mahakama. (Picha na Zuberi Mussa)
Imetolewa mara ya mwisho: 30.11.2008 0014 EAT
Ndoa ya binti wa Mramba yapooza
*Msafara wao wakosa matarumbeta
*Waondoka kanisani kimyakimya
Na Reuben Kagaruki
BI.AIFENA Mramba, binti wa aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Fedha, Bw. Basil Mramba, amefunga ndoa na Bw. Evans Msiba, bila shamrashamra za aina yoyote kufuatia baba yake (Mramba) kushitakiwa na kukosa dhamana katika kesi inayomkabili na mwenzake, Bw. Daniel Yona, ya kuliingizia taifa hasara ya mabilioni ya fedha.
Washitakiwa wote kwa pamoja wanakabiliwa na makosa zaidi ya 10 yanayohusiana na uzembe wanaodaiwa kuufanya wakiwa kazini na kulisababisha taifa hasara ya zaidi ya sh bilioni 10.
Ndoa hiyo ilifungwa Dar es Salaam jana katika Kanisa la Mt. Petro huku kukiwa hakuna shamrashamra kama ilivyozoeleka kwenye sherehe za harusi. Aifena na Evans walitoka nje ya kanisa hilo wakiwa wameshikana mikono wakiwa tayari mke na mume, tabasamu angavu juu ya uso wa Bibi harusi likiashiria matumaini mapya ya maisha yake ya ndoa.
Nyuso za watu wachache waliohudhuria ibada hiyo ya ndoa zilikuwa ishara tosha kwamba tukio hilo lilikuwa,limegubikwa na wingu zito la kumkosa baba mtu katika tukio hilo muhimu katika imani za kikristo.
Ndoa hiyo ilifungishwa na Padri Denis Wigira na kutumbuizwa na kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu saa sita mchana ambayo iliimba nyimbo za kumpongeza na kumuombea Evans na mkewe katika maisha yao mapya.
Mara baada ya harusi hiyo kufungwa, maharusi hao walisimama nje ya lango kuu la kuingia kanisani na kuanza kupiga picha za ukumbusho. Wakati wote, Aifena, ambaye alikuwa alivalia shela jeupe na ua jekundu mkononi, alionesha tabasamu la 'nguvu' huku Evans, aliyevalia suti nyeusi, akiwa amemshika mkono.
Baada ya kumaliza kupiga picha maharusi hao walipanda gari aina ya Benz namba T 158 ARJ na nyuma yao kufuatiwa na gari nyingine ya Benz T 410 AWJ na kuondoka kanisani hapo saa 1.30. Magari mengne machache yalifuatia katika msafara huo.
Magari mengine ya watu waliohudhuria tukio la kufungwa kwa ndoa hiyo yalijiunga kwenye msafara na kuondoka kuelekea hoteli ya Movenpick kuendelea na ratiba nyingine za sherehe ya harusi hiyo.
Kinyume na ilivyozoeleka msafara wa maharusi hao haukuongozwa na kundi la matarumbeta. Bw. Mramba na Bw. Yona wanatarajia kutinga tena katika mahakama ya Kisutu kesho wakiongozwa na mawakili wao kuendelea kuwasilisha hati mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wateja wao kupata dhamana ambayo ni haki yao kikatiba.
Juzi mawakili wa washitakiwa hao walipigana vikali kujaribu kuishawishi mahakama iwape dhamana, ili pamoja na mambo mengine, kumwezesha Bw. Mramba kushuhudia mwanae akivishana na mumewe pete ya ndoa altareni, lakini wakashindwa baada ya Msajili wa Mahakama Kuu, Bw Lameck Mlache kutangaza kwamba zoezi la kuhakiki mali zao litafanyika Jumatatu katika Mahakama ya Kisutu.