Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Re: Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Originally Posted by Gembe

Mwanakijiji alionmya sana mwaka huu mwanzoni kuhsu suala la kuzungwa,Mie wakati mwingine huwa namuoina mwanakijiji kama nabii

hunipendi ndugu yangu; kasome mwisho wa manabii unakuwaje.. nina maadui wa kutosha tu so bora nibakie hivi hivi mtu wa porini, mshamba mshamba fulani hivi. Haya ya manabii yananiogofyesha.
__________________

MWACHEN MTOTO WA KIJIJINI MAMBO YA MJINI HAYATAKI KABISA MSIMZOESHE!@####
 
Re: Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

--------------------------------------------------------------------------------

Ndugu zanguni,
Naomba msamaha kwa post zangu za jana kuhusu dhamana ya Yona na Mramba.
Nakili waziwazi kuwa chanzo changu cha habari kilinipotosha naomba mniwie radhi.
Pili naomba samahani kwa kuwakwaza wajumbe kwa kutumia wachagga na wameru nakiri napo niliteleza nimegusa nyoyo za watu naombeni mniwie radhi.
Samahani nyote nilio wakosea.

PIGA MAGOTI KWENYE COMP YAKO!!!!!
MUNGU NDIPO ATAKAPOKUSAMEHE SISI TUMEKUSAMEHE ILA COMPUTER YAKO BADO AMBACHO NDICHO KIUNGANISHI CHAKO NA CICI

UMESAMEHEWA KWA JINA LA YESU MKUU WA NAZARETI!!!!
 
Wanajamvi.
Nakutizama kurudishwa kwa watuhumiwa hawa huko KEKO kwa mtazamo wa tofauti kidogo.Sababu zangu ni kama zifuatazo;
i)kule "kuahirishwa" kwa kesi ili kupisha send off ya mtoto wa Mramba,kunanipa picha kwamba inawezekana kabisa kuwa haya yatokeayo yalishachezwa kitambo na hapa tunaonyeshwa "recorded" tu!!Nadhani waliona kuwa ni vema asherehekee send off ili iwe one-for-all.
ii)suala la hakimu wa awali 'kukosea' kiwango cha dhamana nalo haliniingii akilini.Hivi ni kweli tuna mahakimu ambao hawajui kugawanya hesabu ndogo kama ile?(sitaki kuamini kama ilikuwa ni human error).
Kwangu mimi hizi habari za rufaa n.k naona ni kama namna ya kuongeza 'manjonjoz' katika hii MOVIE!!!
Nawakilisha.

Mkuu unashangaa hilo hakimu kashindwa kujumlisha na kugawanya mbona hata madaktari kibao wanasahau nyuzi, mikasi na nK baada ya operation, Kwa mtazamo wangu kama wameshitakiwa kwa abuse of power basi habaki mtu hapo nchini
Wao ndio wamesababisha sisi tuwe hapa tulipo second pourest country in the World without any reasonable excuse.
Walau wnzetu wana sababu vita, na climatic condition je Tanzania ?
 
Harusi bila baba,...

Binti wa Mramba na Mumewe baada ya kufunga ndoa jana.
 
Long live technology, ni binti yupi huyu? bwana harusi anafanya shughuli gani? who were the A-listers in attendance?
 
Kuna tetesi kuwa Basil P. Mramba alikuwa kwenye harusi ya Mwanae!!!!!!!!! Mwenye data zaidi tafadhali azimwage hapa jamvini...
 
Bail relief at last for Mramba, Yona...but not until next week

THISDAY REPORTER
Dar es salaam

DESPITE a High Court ruling issued in their favour late yesterday ordering the lower Kisutu Resident Magistrate's Court to relax their bail conditions, former government ministers Basil Mramba and Daniel Yona will still have to spend the entire weekend at the Keko Remand Prison in Dar es Salaam.

There was much despair among relatives of the two once-powerful ministers of the third phase government of ex-president Benjamin Mkapa as the High Court in Dar es Salaam effectively confirmed their continued incarceration until Monday, which is the earliest they will now be able to process bail at the Kisutu court under less stringent conditions.

Ruling in favour of an application filed by lawyers for both Mramba and Yona, High Court Judge Njegafibili Mwaikugile said the tough bail conditions set by the lower court earlier this week should be changed.

While the Kisutu court had demanded that the two accused persons deposit at least 3.9bn/- in cash each, Judge Mwaikugile's ruling reduced this figure to 2.9bn/- and also allowed for the deposition of title deeds on immovable property with such a value, instead of cash.

However, the High Court judge dismissed a request by defence lawyers to waive the bail condition that prohibits both Mramba and Yona from traveling outside Dar es Salaam during the entire duration of the trial.

Judge Mwaikugile also upheld the condition set by the Kisutu court that the two ex-ministers surrender their passports and produce two reliable sureties who will each sign a 2.9bn/- bond.

Although the two accused and their relatives/friends in the court-room appeared vividly pleased with the relaxed bail conditions ordered by the judge, their joy was short-lived following the realization that time was not on their side.

According to court officials, there was simply not enough time to verify the authenticity of the title deeds produced by the two former ministers before the official close of court business yesterday.

The news must have been particularly bitter for Mramba (68), who was today scheduled to see off his daughter at her wedding ceremony in Dar es Salaam, but instead will now have to spend the whole weekend behind bars.

The two ex-ministers were arraigned before the Kisutu court on Tuesday this week to answer charges of allegedly extending a controversial contract with Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation and granting dubious tax exemptions to the gold auditing company, thus causing a loss of more than 11.75bn/- to the nation.

The charges stem from a period between 2002 and 2005, when Mramba served as minister for finance and Yona was minister for energy and minerals in the Mkapa administration.

Both pleaded not guilty to a total of 13 counts drawn up by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), but were unable to immediately meet the tough bail conditions set by the court, and have been holed up in remand prison ever since.

Meanwhile, six accused persons in the ongoing Bank of Tanzania (BoT) external payment arrears account embezzlement trials at the Kisutu court yesterday failed to report to prosecutors as required.

Nineteen of the accused persons in the EPA scandal trials had been ordered to report to the court on the last Friday of every month as an integral part of the conditions under which they were granted bail.

The six who failed to show up at the court yesterday were Godfrey Mosha, Sofia Ralika, Davies Kamungu, Ester Komu, Japhet Lema, and Bosco Kemere. The other thirteen, including business tycoons Jeetu Patel and Johnson Lukaza, reported at the court as required under the bail conditions.

It could not be immediately established why the six went absent without leave (AWOL). The chief prosecutor at the Kisutu court, Assistant Commissioner of Police (ACP) Charles Kenyela, said: ''The law will take its course if any accused persons violate their bail conditions.''
 
Ndugu zanguni,
Naomba msamaha kwa post zangu za jana kuhusu dhamana ya Yona na Mramba.
Nakili waziwazi kuwa chanzo changu cha habari kilinipotosha naomba mniwie radhi.
Pili naomba samahani kwa kuwakwaza wajumbe kwa kutumia wachagga na wameru nakiri napo niliteleza nimegusa nyoyo za watu naombeni mniwie radhi.
Samahani nyote nilio wakosea.

Hata mimi nakusamehe kwa makosa yote mawili.
Kwanza kusema uongo kwamba kapewa dhamana wakati si kweli.
Pili kwa kutusema sisi wachaga na wameru maana ninazo damu zote mbili ndani yangu. Yaani ya kichaga na ya kimeru.
kwa kutuomba msamaha imeonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa mk...to wa kweli.
NAKUSAMEHE
 
9077.jpg

Binti Aifena Mramba, mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Bw. Basil Mramba akitoka Kanisa la Mt. Petro Oysterbay, Dar es Salaam jana mara baada ya kufunga pingu za maisha na Bw. Evans Msiba. Bw. Basil Mramba alikosa kuhudhuria harusi ya bintiye baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana licha ya unafuu uliotolewa na mahakama. (Picha na Zuberi Mussa)

Imetolewa mara ya mwisho: 30.11.2008 0014 EAT

• Ndoa ya binti wa Mramba yapooza

*Msafara wao wakosa matarumbeta
*Waondoka kanisani kimyakimya

Na Reuben Kagaruki

BI.AIFENA Mramba, binti wa aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Fedha, Bw. Basil Mramba, amefunga ndoa na Bw. Evans Msiba, bila shamrashamra za aina yoyote kufuatia baba yake (Mramba) kushitakiwa na kukosa dhamana katika kesi inayomkabili na mwenzake, Bw. Daniel Yona, ya kuliingizia taifa hasara ya mabilioni ya fedha.

Washitakiwa wote kwa pamoja wanakabiliwa na makosa zaidi ya 10 yanayohusiana na uzembe wanaodaiwa kuufanya wakiwa kazini na kulisababisha taifa hasara ya zaidi ya sh bilioni 10.

Ndoa hiyo ilifungwa Dar es Salaam jana katika Kanisa la Mt. Petro huku kukiwa hakuna shamrashamra kama ilivyozoeleka kwenye sherehe za harusi. Aifena na Evans walitoka nje ya kanisa hilo wakiwa wameshikana mikono wakiwa tayari mke na mume, tabasamu angavu juu ya uso wa Bibi harusi likiashiria matumaini mapya ya maisha yake ya ndoa.

Nyuso za watu wachache waliohudhuria ibada hiyo ya ndoa zilikuwa ishara tosha kwamba tukio hilo lilikuwa,limegubikwa na wingu zito la kumkosa baba mtu katika tukio hilo muhimu katika imani za kikristo.

Ndoa hiyo ilifungishwa na Padri Denis Wigira na kutumbuizwa na kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu saa sita mchana ambayo iliimba nyimbo za kumpongeza na kumuombea Evans na mkewe katika maisha yao mapya.

Mara baada ya harusi hiyo kufungwa, maharusi hao walisimama nje ya lango kuu la kuingia kanisani na kuanza kupiga picha za ukumbusho. Wakati wote, Aifena, ambaye alikuwa alivalia shela jeupe na ua jekundu mkononi, alionesha tabasamu la 'nguvu' huku Evans, aliyevalia suti nyeusi, akiwa amemshika mkono.

Baada ya kumaliza kupiga picha maharusi hao walipanda gari aina ya Benz namba T 158 ARJ na nyuma yao kufuatiwa na gari nyingine ya Benz T 410 AWJ na kuondoka kanisani hapo saa 1.30. Magari mengne machache yalifuatia katika msafara huo.

Magari mengine ya watu waliohudhuria tukio la kufungwa kwa ndoa hiyo yalijiunga kwenye msafara na kuondoka kuelekea hoteli ya Movenpick kuendelea na ratiba nyingine za sherehe ya harusi hiyo.

Kinyume na ilivyozoeleka msafara wa maharusi hao haukuongozwa na kundi la matarumbeta. Bw. Mramba na Bw. Yona wanatarajia kutinga tena katika mahakama ya Kisutu kesho wakiongozwa na mawakili wao kuendelea kuwasilisha hati mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wateja wao kupata dhamana ambayo ni haki yao kikatiba.

Juzi mawakili wa washitakiwa hao walipigana vikali kujaribu kuishawishi mahakama iwape dhamana, ili pamoja na mambo mengine, kumwezesha Bw. Mramba kushuhudia mwanae akivishana na mumewe pete ya ndoa altareni, lakini wakashindwa baada ya Msajili wa Mahakama Kuu, Bw Lameck Mlache kutangaza kwamba zoezi la kuhakiki mali zao litafanyika Jumatatu katika Mahakama ya Kisutu.
 
Yee Wooooooooooomi

Laanye akwa eh.

Kiru!!!!!! Sasa ile mbusi aliyoitakiwa alishwe baba msasi wa mtoto alilishwa nani eti?
 
Huyo mmewake pande la mtu....wamependeza na kumechisha mwembamba na mnene.
Wanafanya kazi wapi hawa?
 
Huyu binti wa Mramba ndo waliye zaa na mama Ana Mkapa?
 
kinachofurahisha hapa ni kuwa hata baba wa bwana harusi Elvis Msiba ameshawahi kufungwa miaka ya nyuma kwa tuhuma za wizi... tena alifungwa keko hapo hapo alipo mramba
 
....Interesting, Binti ana sura ya Ana Mkapa,Bw.Harusi ana sura ya Jacob Zuma....kweli Duniani wawiliX2.

Ebwaneee kumbe na wewe umeshtukia hilo ehee!
Sasa si angeenda mzee Ben kumuwakilisha mzee mwenzie....kama baba Mrithi.
 
JK huyu anayeonekana na wengi kuwa HAWEZI? Siamini maandishi haya!

wee subiri wee usiwe mtoto wa kudanganywa na kasha la pipi subiri pipi yenyewe mishitaka yenyewe hushindwi kusikia wameshinda kesi na wanaidai serikali mihela kibao kwa kuwachafulia jina then hizo hizo tufanyie kampeni, CCM kwa madili nawaaminie mtaniambia muda utakapofika changa la macho hilo
 
Back
Top Bottom