Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Mwinyi na Warioba na Pinda na Malecela na maswahiba wa Mramba toka uhuru na Mawaziri na wabunge wengine wengine, na yeyote anaepigia kelele ufisadi akitokea kumuoza mtoto wa Mramba ina maana mnafiki - haelewi the symbolic meaning ya kuto ji-distance na mshutumiwa wizi!!

Marekebisho, Malecela na mkewe wako London toka last week kwenye ziara ya binafsi itakayowachukua mwezi mmoja na nusu, kati ya nchi mbali mbali za Europe na USA.

Thanxs!
 
Marekebisho, Malecela na mkewe wako London toka last week kwenye ziara ya binafsi itakayowachukua mwezi mmoja na nusu, kati ya nchi mbali mbali za Europe na USA.
Thanxs!
Tunashukuru mkulu kwa kutuweka sawa katika hili........Naona muheshimiwa kaona jamaa wamechafua hali ya hewa mjini, akaona aondoke tu ili upepo utulie. Wasije wakatokea ndiwo siwo wakataka kumpakazia ishu buree....hakuna anayemwamini mwenzie hivi sasa kabisa.😀
 
Anakula pensheni ya walalahoi tu!

Mkuu Pundit naomba nitofautiane na wewe katika hili. Mzee Malecela alikuwa ni mtumishi wa Umma kwa miaka mingi tu, hivyo kama ikiwa sasa anakula pensheni, sio lazima iwe ya walalahoi.........
 
Mkuu Pundit naomba nitofautiane na wewe katika hili. Mzee Malecela alikuwa ni mtumishi wa Umma kwa miaka mingi tu, hivyo kama ikiwa sasa anakula pensheni, sio lazima iwe ya walala hoi, pensheni ya kwake ile mkuu...

Pensheni ya walalahoi as in iliyogharimiwa na walalahoi, una dispute hilo?
 
Pensheni ya walalahoi as in iliyogharimiwa na walalahoi, una dispute hilo?
Nadispute hilo kutokana na kwamba tunataka kumtia lawamani kwa kuwa alikuwa ni mtumishi wa umma.
Ukishafanya kazi si kuna kitu kinaitwa mafao?? Au niko off-point hapo?!?!
 
Nimepata Breaking news....... wameachiwa kwa dhamana dk 20 zilizopita
Wachagga na wameru wamefulika kwa wingi mahakamani wakichangishana kuhakikisha mzee anafaudu harusi ya mwanae kesho.

...wanabodi ..vita dhidi ya ufisadi tumepigana wote hapa regardless kabila ..tena bila kujali watakaonaswa watakuwa wapare,wachagga,wahaya au wakwere........sasa inakuwaje tunaaza kubaguana mapema hivi......kwa ku generalize sympathezers wa mramba na yona kuwa ni wachagga na wameru peke yao...?..kwani kulikuwa na tabu gani ungeandika kuwa "ndugu zake ,jamaa na marafiki ...walifurika kwa wingi mahakamani......"

....hata taarifa nyingine kuwa wachaga na wapare wanachangishana ni aina ya propaganda nyingine....ambayo sijui motive yake.....

MY TAKE:kukamatwa kwa vigoogo ni muendelezo ,mzuri juu ya kupigana dhidi ya graft...[ufisadi],kama walivyokwishakamwatwa huko nyuma kina nalaila kiula,marehemu fundikira etc........PAMOJA NA HAYO LAZIMA TUYATAZAME YOTE HAYA KWA MACHO MAWILI LA TAHADHARI KUU...kwani hatujuwi mwisho wake..lets ne in the state of WAIT AND SEE.....

vile vile inabidi tumuombee Mungu rais kwa huu uamuzi ...iwe ni wa busara au la....ni uamuzi mzito, ambao lazima tuombe MUNGU ...atuongoze salama,kwani usalama wake ni muhimu sasa kuliko wakati wowote,na pia tuombe Mungu hii isiwe chanzo cha siasa za kukomoana kama zambia na malawi.......

Ili kazi yote hii nzuri isionekane ni siasa ..ni lazima DPP apeleke mashtaka yote kwa umakini mkubwa ili waweze kutiwa hatiani..kwani iwapo court itashindwa kuwatia hatiani hawa na wale wa EPA...inaweza kusababisha...wakaonekana walisingiziwa.....au kusababisha wadai fidia watakaposhinda au kama watashinda.....

Nimejadiliana na wanasheria wengi wazoefu ...wanasema namna shauri la mramba na yona yalivyo draftiwa ..uwezekano wa wao kushinda kesi pia upo tena wakutosha tu........

OTHERWISE TUENDELEE KUPIGANA DHIDI YA UFISADI KAMA WATANZANIA.......
 
I wonder ni viongozi wangapi walioko madarakani na wastaafu wako nje kwa sasa, na kwa nini wameenda huko nje kupunga upepo. Kuna ujumbe uko ndani ya signal hii. Alkini all in all, nimeshangaa sana kwa Mramba kushindwa kupewa dhamana, sijui hela zote ameficha wapi. As far sa i know mjukuu wake ana uwezo wa kumdhamini kwa kuwa hela anazo, labda tatizo liwe umri wake haumruhusu kufanya hivyo.
 
...WANASIASA sio wachumi wazuri ....mwanasiasa anaweza kuwa na pesa nyingi sana ..lakini akikaa nje ya systeme hata mwaka mmoja ...anachoka sana,unlike mfanyabiashara....hii ni tofauti na wanasiaasa wa nchi kama kenya aambao huwekeza pesa zao kwenye STOCK...na wao hubakia kula faida tu...ni tofauti sana na wanasiasa wetu ambao wao wanajuwa kutumia tu....

just kumbuka mtu kama KIULA aliuwa anatuhumiwa kuhongwa na wajenzi wa mabarabara......pamoja na kuwa wakati anashtakiwa alikuwa na vipesa vichache....hakuchukuwa muda kabla ya kuchoka kabisa hadi sasa anadandia dala dala na watu.wanasiasa ni watu wa kujisahau sana.......

MRAMBA ..waziri wa viwanda tena tangu enzi ya mwalimu lazima aatakuwa anafahamiana na wafanyabiashara wengi tu..lakiini nijuavyo wafanyabiahsara wengi watakuwa wanaogopa kumdhamini......si unajuwa biashara za tanzania tena ...wanaogopa kukomolewa na kodi....especially kwa mambo kama haya au kusaidia wapinzani....
 
Nadispute hilo kutokana na kwamba tunataka kumtia lawamani kwa kuwa alikuwa ni mtumishi wa umma.
Ukishafanya kazi si kuna kitu kinaitwa mafao?? Au niko off-point hapo?!?!

- Unajua Mkulu Mwanzage, ukitoka kwenye familia ya viongozi wezi ni rahisi sana kuamini kuwa familia za viongozi wengine ni wezi kama yako.
 
...WANASIASA sio wachumi wazuri ....mwanasiasa anaweza kuwa na pesa nyingi sana ..lakini akikaa nje ya systeme hata mwaka mmoja ...anachoka sana,unlike mfanyabiashara....hii ni tofauti na wanasiaasa wa nchi kama kenya aambao huwekeza pesa zao kwenye STOCK...na wao hubakia kula faida tu...ni tofauti sana na wanasiasa wetu ambao wao wanajuwa kutumia tu....

just kumbuka mtu kama KIULA aliuwa anatuhumiwa kuhongwa na wajenzi wa mabarabara......pamoja na kuwa wakati anashtakiwa alikuwa na vipesa vichache....hakuchukuwa muda kabla ya kuchoka kabisa hadi sasa anadandia dala dala na watu.wanasiasa ni watu wa kujisahau sana.......

MRAMBA ..waziri wa viwanda tena tangu enzi ya mwalimu lazima aatakuwa anafahamiana na wafanyabiashara wengi tu..lakiini nijuavyo wafanyabiahsara wengi watakuwa wanaogopa kumdhamini......si unajuwa biashara za tanzania tena ...wanaogopa kukomolewa na kodi....especially kwa mambo kama haya au kusaidia wapinzani....

Hata wafanya biashara wengi bongo sio wafanya biashara wazuri. Wengi wao wanakimbilia kuwa wabunge.
 
Wanajamvi.
Nakutizama kurudishwa kwa watuhumiwa hawa huko KEKO kwa mtazamo wa tofauti kidogo.Sababu zangu ni kama zifuatazo;
i)kule "kuahirishwa" kwa kesi ili kupisha send off ya mtoto wa Mramba,kunanipa picha kwamba inawezekana kabisa kuwa haya yatokeayo yalishachezwa kitambo na hapa tunaonyeshwa "recorded" tu!!Nadhani waliona kuwa ni vema asherehekee send off ili iwe one-for-all.
ii)suala la hakimu wa awali 'kukosea' kiwango cha dhamana nalo haliniingii akilini.Hivi ni kweli tuna mahakimu ambao hawajui kugawanya hesabu ndogo kama ile?(sitaki kuamini kama ilikuwa ni human error).
Kwangu mimi hizi habari za rufaa n.k naona ni kama namna ya kuongeza 'manjonjoz' katika hii MOVIE!!!
Nawakilisha.
 
Ndugu zanguni,
Naomba msamaha kwa post zangu za jana kuhusu dhamana ya Yona na Mramba.
Nakili waziwazi kuwa chanzo changu cha habari kilinipotosha naomba mniwie radhi.
Pili naomba samahani kwa kuwakwaza wajumbe kwa kutumia wachagga na wameru nakiri napo niliteleza nimegusa nyoyo za watu naombeni mniwie radhi.
Samahani nyote nilio wakosea.
 
Huu ndio ungwana ,nadhani wajumbe na wahusika wameipata hii na hatuna budi kufanya lisilobudi kama wangwana:Apology accepted,because none of us acts the way we wish we would all of the time, there will always be a need for sincere apologies.
 
Anakula pensheni ya walalahoi tu!

Kwani hawafanyi kazi ndugu yangu? Wote wanalipwa donge nono hawa. Ni haki yake kutanua saa hizi maana hata hivyo hana mtoto anayewategemea kwa sasa.
 
Originally Posted by Field Marshall ES
- Unajua Mkulu Mwanzage, ukitoka kwenye familia ya viongozi wezi ni rahisi sana kuamini kuwa familia za viongozi wengine ni wezi kama yako

UMESOMA HAVARD UNIVERSITY?????????????????
 
-

FIELD 80 UMETUMWA

==================
Nimepata Breaking news....... wameachiwa kwa dhamana dk 20 zilizopita
Wachagga na wameru wamefulika kwa wingi mahakamani wakichangishana kuhakikisha mzee anafaudu harusi ya mwanae kesho.
===================

MBONA UNAMTETEA HUYU BWANA UMEKULA CHAKE NINI>????????????
 
Nimekuandikia kwenye ile thread ya kwanza

yani leo ukimwona mramba basi ukajiue!!!!hi serikali si sirikali kama mlivyokuwa mkiichezea natumaini unakula keki na mmama mkappa hapo embeni
msalimie sana mwambie ajiandae wiki ijayo mzee(mramba )kasema hatoki mpaka ampokee kwenye v.i.p room
 
Back
Top Bottom