Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 46
mhmm! yaaani anaruhusiwa kuhudhuria send off kwanza! kweli sheria ina heshima.Hii habari niliandika wiki iliyopita wakati walipotakiwa kupelekwa mahakamani lakini ikaahirishwa sababu ya Send off ya mtoto wa Mramba.... yote yatatimia.
mhmm! yaaani anaruhusiwa kuhudhuria send off kwanza! kweli sheria ina heshima.
Hii Hatari viongozi wetu kwetu majambazi!
Hii Hatari viongozi wetu kwetu majambazi!
mhmm! yaaani anaruhusiwa kuhudhuria send off kwanza! kweli sheria ina heshima.
Mama Mdogo mbona unanipa presha mwenzio???
Hii habari niliandika wiki iliyopita wakati walipotakiwa kupelekwa mahakamani lakini ikaahirishwa sababu ya Send off ya mtoto wa Mramba.... yote yatatimia.
Ndugu yangu, imenibidi niahirishe mihanjohanjo ya maisha ili nirudi Kisutu. Nimehakikishiwa ni kweli wako ndani ya mahakama na sheria inachukua mkondo wake. Kusherehekea mwanso wa anguko la mafisadi, naenda hapo Subway kupata mlo wa kushangilia ushindi. Karibu tupate chochote kama uko Dar tumpongeze DPP kwa uamuzi mzito.