Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Usipoteze muda wako kuongea na mapepo. huyo anaamini akijiripuwa anakwenda peponi na kukuta mabikira 100 wanamsubili. hayo ndio mafundisho ya Mungu wake.Makanisa yanakuwa na vitu vya thamani sana, sometimes worth hata a billion shs. Kuna vyombo vya muziki pia. Tena hawalindi wamasai, kunakuwa na kampuni ya ulinzi yenye insurance pia.