Yombo KKKT hali si shwari

wakuu ni kwamba hii sms nimetumiwa na mpendwa na nilipotaka kupata taarifa zaidi toka kwake kaniambia naye ameipata toka kwa mpendwa mwingine akimsisitiza aombe kwa ajili ya hyo hali, na nikaona kupata habari za uhakika ni bora niifikishe humu jamvini kwanza kabla sijachukua uamuzi wa kui-"foward" kwa wapendwa wengine ili hata wakiniuliza maswali kama haya mnayoniuliza wakuu niwe na cha kuwajibu.
Naamini humu jamvini kuna watu wanaotoka yombo na viunga vyake au wanaweza wakawa wamepata taarifa kwa undani zaidi kuliko tetesi nilizo nazo, naomba wenye taarifa za ukweli kuhusu tetesi hii watueleze
Mbarikiwe wapendwa.
hahahahaa........asante mpendwa.
 
Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!
Kumbe wakuu wa mfumokristo wamesubiri Kikwete mpaka aende Oman ndipo wakamate ndugu zake!.Tulikuwa tunamlaumu Kikwete kumbe sio mbaya kiasi hicho.
 
nimepiga simu mbili tatu kwa sababu ndo kanisa nalosali naona sio hapo ila naambiwa ni kanisa la assemblies lililopo karibu na petrol station ya njia panda ndo kuna vurugu imetokea nazidi fatilia nitakufahamisheni

nashukuru kutujuza, naamini tutapata habari za uhakika juu ya tukio husika.
 
Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!

chezeya Cacico veve hahahahahahha
 
Niko eneo la tukio kanisa la KKT Yombo opposite na chuo cha walemavu, na hapa ndipo alipotokea Askofu Malasusa, nitawapa taarifa kamili.
 
Kumbe wakuu wa mfumokristo wamesubiri Kikwete mpaka aende Oman ndipo wakamate ndugu zake!.Tulikuwa tunamlaumu Kikwete kumbe sio mbaya kiasi hicho.

Na Kova aliyetoa amri wakamatwe pamoja na kutoa karipio naye ni wakala wa huo mfumo kristo siyo?
 
Kama ni kweli inasikitisha sana!!!
Mungu gani huyo wa kufanya uharibifu.....?? nawashukuru wazazi wangu kwa kunipeleka shule vinginevyo na mimi ningeshapewa buku kama ujira wa kuchoma makanisa
Sidhani, kwa wewe ungekuwa labda ohio, au uwanja wa fisi au pale Kimboka.
Kuchoma makanisa au kazi za vurugu zinahitaji msuli wewe huna.
 
Tukio lilitokea saa 9 usiku, ni la kupangwa na hawa Waislamu feki, ila timing yao ilikuwa siyo walimpiga mapanga mlinzi mmoja wakidhani wameshamaliza kazi ili walichome kanisa kumbe walinzi walikuwa zaidi ya mmoja. ni jaribio lililoshindwa.

Nafanya mahojiano na mlinzi aliyejeruhiwa, ameshatoka Hospital na ameshonwa nyuzi kadhaa.
 
Kama hali ndio iko hivyo kwa kwa kweli watanzania hatuna budi kujitizama upya na kuangalia uvumilivu wetu wa kidini unapotea ama umepotea na tunakoelekea si kwema kabisa
 
Makanisa yanakuwa na vitu vya thamani sana, sometimes worth hata a billion shs. Kuna vyombo vya muziki pia. Tena hawalindi wamasai, kunakuwa na kampuni ya ulinzi yenye insurance pia.
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
 
Sidhani, kwa wewe ungekuwa labda ohio, au uwanja wa fisi au pale Kimboka.
Kuchoma makanisa au kazi za vurugu zinahitaji msuli wewe huna.

Huo msuli kwanini usitumike kwenye shughuli za kuiongezea pato la kila siku kwa familia???
Ndio maana umasskini hauishi
 
Back
Top Bottom