Yeyote mwenye nyeti za GRE Test Preparation!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yeyote mwenye nyeti za GRE Test Preparation!?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mutu, Oct 25, 2008.

 1. M

  Mutu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nataka kufanya GRE Test,nategemea kurudi shule mwakani .Yeyote pale mwenye material yatakayo wezasha kufanya maandalizi ya hii test tafadhali!
  Nafahamu yale ktk web fulani unalipia kama za priceton review na zinginezo.Nachotafuta ni unafuu kama kuna mtu tayari anavyo vitu kama hivyo.
  Kama ntapata pia yaliyo maalumu kwa mchepuo wa uhandisi itakuwa ni furaha kwangu.
  Natanguliza shukrani zangu.
  Ndimi,
  Mutu.
   
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Ninacho kimoja General GRE Test 10th edition.Kama uko UK chaweza kukufikia @postage cost.Otherwise its uneconomical might as well buy it from them.
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Niko NewYork Ndugu sasa sijuhi itakuwa ni cost effectively kutuma,ila nahisi gharama za mmkulipia postage ni ndogo kuliko kununua ,sijuhi niko sahihi!
   
 4. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Kama unaishi NY (USA) UNASHINDWA NINI KUTAFUTA VITABU VYA GRE MBONA VIPO VINGI SANA , UNGEKUWA TZ NINGEKUELEWA LAKINI KAMA UPO US, HAPO NI KAZI KWELI KWELI, SIJUI UNATAKA KITABU/VITABU GANI BADO SIJAKUELEWA, AU NI WALE WATOTO WALIOKULIA KWENYE FREEZER MAANA UKITOKA NJE YA HIYO NYUMBA UNAYOISHI NENDA MAKITABA/WEBSITE YEYOTE UTAPATA ZAIDI YA VITABU 1000 VYA GRE VINAKUSUBILI UVISOME,

  Amazon.com: GRE: Books
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  nenda barnes and noble.
   
 6. M

  Mutu JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  shukrani kwa michango yenu
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Wewe mbona unaongea kama umekalia kitu! mimi nimeuliza kama mtu anavyo hapa kama hizo web nani asiyejua na nimeeleza wazi najua hizo review au ndio unataka kunifundisha kutumia search engine?
  Natilia shaka jinsia yako inaonekana unaviasilia vya jinsia zote mbili ,nainakufanya kuwa (tusi)baridi.Acha kudandia gari la jeshi kwa mbele (tusi)wewe.Kwani ningekuwa Tz hakuna internet (tusi)yako ya nyuma.
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
   
 9. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mutu!!!!!
  Nilidhani ungetumia busara kumjibu mwenzako japo umekerwa na jinsi alivyokupa maelekezo! too bad nashindwa kujua ni nani ameelimika au ana busara kati yenu!

  As for GRE when you are already in the US nafikiri ni rahisi zaidi kupata materials cos hata mimi nilipata all materials from friends in the US nilipotaka kufanya hizo papers, in case ungekuwa bongo hata mimi ningekupa GRE test book and CD yenye tests.
  Nasisitiza kwamba ukinyamaza ukaacha kujibizana na watu tena kwa matusi utaonekana mwenye busara zaidi.

  All the best in your papers!
   
 10. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Hivi wakuu naomba kuuliza..

  Haiwezekani mtu kupata admission kwenye chuo kama hiyo GRE hujaifanya? hata kama ni kigezo ambacho wameweka? cant they give you an exemption? au wakishasema ufanye hiyo GRE hakuna pa kutokea ni lazima uifanye? I just want to know if each case is treated on its own..or rules are just rules and they have to be adhered to! Na kama wanaweza kukupa exception ni vigezo vipi wataangalia?

  Anybody ambaye ameshawahi pata exemption ya kufanya GRE na akapewa admission yake kwenye shule especially huko USA! Katika course yoyote!
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sijaifanya lakini sehemu zote nilizokwenda sijaulizwa GRE......
   
 12. M

  Mutu JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 13. M

  Mutu JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio kuna vyuo hawahitaji na kimoja wapo nitafanya application,ila vingine wanataka kama Columbia University cha NY wanataka GRE na wameweka point ambazo unatakiwa kupata for admission.
  Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambacho kinaheshima ktk engineering dept ya Electrical hawahitaji ila dept zingine wanataka ,sababu sijuhi(may be wana test yao).
  Kwa hiyo nimeona ni vema kufanya GRE test kwa watakao hitaji unawapa wasiohitaji you just keep for yourself.
   
Loading...