Yesu Kristo kwa kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya Kimungu, yaani akili

Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.

Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.

Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.

Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.

Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.

Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.

Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.

Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.

Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.

Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.

Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.

Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.

Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.

Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.

Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.

Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.

Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.

Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.

Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.
1. Kifo cha Yesu hakina uhusiano wowote na ondoleo la dhambi, bali Yesu alihukumiwa kwa Uhaini, matendo yake alikwenda kinyume na sheria na zakiutawala na mila na desturi za wayahudi.

2. Yesu alikuwa na siri au ujuzi na alifundisha mafundisho ambayo ukiyaelewa na kuyatekeleza kwa vitendo yanaweza kuelekeza na ukafikia njia ya uzima wa milele.

3. Watu walioishi hata kabla ya Yesu walionyesha uwezo mkubwa wa akili mpaka mambo walioyafanya yanashangaza wanasayansi hadi leo. Mfano Ujenzi wa Mapiramidi, hamna msomi anaweza hua tofari la tani 2 lilipandishwaje juu ya jengo.

4. Utukufu wa Mungu uko zaidi ya akili, uko Rohoni wakati akili iko mwilini.

5. Mafundisho ya Yesu yanayoelekeza Binadamu afanye nini iliaipate njia ya Uzima yamefichwa, kwani tangia mwazo ukristo ulipigwa vita na wafuasi waliogopa kujulikana bayana hivyo walifundishana kwa siri.

6. Mwili wa binadamu umeumbwa kwa udongo kupitia chakula, ulianzishwa kwa mimba ilitungwa kwa mbegu ya baba iliyoengua yai la Mama na kupewa uhai kwa Royo ya Mungu. Mfano wa Mungu unaozungumiziwa si wa kimwili bali Kiroho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo cha Yesu hakina uhusiano wowote na ondoleo la dhambi, bali Yesu alihukumiwa kwa Uhaini, matendo yake alikwenda kinyume na sheria na zakiutawala na mila na desturi za wayahudi.

2. Yesu alikuwa na siri a
Naweza sema mafundisho uliyonayo kuhusu Yesu ni mafundisho mkopo.

Suala la Yesu ni jambo lililoaguliwa kwa mamia ya miaka mahali pote.

Kabla ya ujio wake Yesu alikwisha semwa mahali pote duniani kuwa atakuja mtu wa aina hii atakaye ishi hivi.

Yesu hakuja kuhangaika na mambo ya mwili bali roho au akili.

Tatizo hapa ni kuwa unafikiri juu ya akili ya ufahamu.
 
hajui kitu huyo achana naye
 
Mkuu upo sahihi kuwa mwana wa Mungu (Yesu) amekuja nae ametupa akili lakini sio akili unazomaanisha wewe .
Mkuu hata kabla ya ujio wa Yesu maendeleo yalikuwepo na yalifanywa na watu wenye akili Sasa nikusahihishe ni Aina ipi ya akili inayozungumziwa kwenye biblia ?.....
Ni maarifa ya kumtambua na kumwelewa Mungu kwa upana katika Usahihi Wala sio akili za kutengeneza magari na drones mkuu
Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.

Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.

Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.

Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.

Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.

Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.

Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.

Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.

Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.

Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.

Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.

Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.

Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.

Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.

Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.

Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.

Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.

Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.

Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.

Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.

Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.

Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.

Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.

Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.

Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.

Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.

Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.

Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.

Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.

Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.

Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.

Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.

Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.

Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.

Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.

Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.

Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.
Hivi huu UONGO huwa mnashindwa hata kujistukia ? Mnausambaza tu ?

Hao mitume wakina Musa,Ibrahim,Dawood na wengine walikuwa hawana maarifa ?

Unaposema binadamu kushiriki uumbaji wa Mola ni kwa namna ipi ?

Nani alikwambia Mola alimuumba Adamu kwa sura yake ? Hapa kuna tatizo la lafudhi na maana ya kauli. Mola hafanani na kitu chochote.

Unaongelea maendeleo gani ? Au mathalani Yesu ana mchango gani katika maarifa ya ujenzi ? Umeme ? na mfano wake ?

Ni zipi sifa za mtu mwenye akili ?

Hali ya kimungu mliyo kuwa nayo kabla ni hali gani na kipi kilikuonyesha hali hiyo ?

Sasa mbona baada ya Yesu mambo yameendelea kukanganya sana katika upande wa dini yenu ya kipagani huku mkitumia kivuli cha mtume Issa/Yesu,mbona leo hii hamuwajui waandishi wa vitabu vyenu mnavyo viamini ajabu mna vifata ? Huu ni mkanganyo au sio mkanganyo ?
 
Naweza sema mafundisho uliyonayo kuhusu Yesu ni mafundisho mkopo.

Suala la Yesu ni jambo lililoaguliwa kwa mamia ya miaka mahali pote.

Kabla ya ujio wake Yesu alikwisha semwa mahali pote duniani kuwa atakuja mtu wa aina hii atakaye ishi hivi.

Yesu hakuja kuhangaika na mambo ya mwili bali roho au akili.

Tatizo hapa ni kuwa unafikiri juu ya akili ya ufahamu.
Alisemwa wapi na alisemwa na nani ?

Tupe marejeo.
 
Yesu Mwenyewe alisema, Yeye ni mwanga.

Unafafanuaje hilo ?

Biblia mara zote inamsema Yesu ni maarifa. Yesu haiwezekani kumtenganisha na material au dunia.

Pasipo Yeye hakuna material wala chochote.
Sasa ndio utuonyeshe maarifa aliyo yatoa Yesu katika mambo ya kidunia.
 
Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.

Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.

Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.

Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.

Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.

Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.

Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.

Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.

Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.

Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.

Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.

Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.

Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.

Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.

Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.

Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.

Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.

Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.

Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.
misri walianza kuandika na kuwa na majengo makuba kabla hata yesu hajazaliwa weunaongea kitu gani??
 
Unafahamu kama historia au taarifa kabla ya Yesu Kristo haifahamiki waziwazi hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuyatafiti ?
Huu uongo.

Baada ya Yesu hasa kwenye dini yenu ndio haifahamiki kabisa, nakuuliza swali. Hivi Luka alipokea kutoka kwa nani maandiko ya Yesu au Marko alipokea kutoka kwa nani maandiko ya Yesu ?

Hii sasa ndio Historia yenyewe.
 
Mkuu upo sahihi kuwa mwana wa Mungu (Yesu) amekuja nae ametupa akili lakini sio akili unazomaanisha wewe .
Mkuu hata kabla ya ujio wa Yesu maendeleo yalikuwepo na yalifanywa na watu wenye akili Sasa nikusahihishe ni Aina ipi ya akili inayozungumziwa kwenye biblia ?.....
Ni maarifa ya kumtambua na kumwelewa Mungu kwa upana katika Usahihi Wala sio akili za kutengeneza magari na drones mkuu

Ushajiuliza wagunduzi wanagunduaje vitu ?
Kuna akili ya ufahamu na akili ya kina. Yesu alishughulika na akili ya kina.
 
Watu wa kwanza kuwepo duniani ni kina nani ?
Ukweli ni kwamba hakuna mtu anaejua watu wa kwanza kuwepo duniani ni akina nani au waliitwa nani.

Mungu aliumba mtu mwanaume na mwanamke hili ndilo jambo la hakika.
 
Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.

Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.

Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.

Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.

Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.

Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.

Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.

Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.

Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.

Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.

Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.

Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.

Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.

Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.

Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.

Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.

Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.

Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.

Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.
Amen!
 
Back
Top Bottom