Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,300
- 105,558
Inaonekana husomi unachokiandika. Unakanusha kisha unathibitisha.
Hao mtu mwanaume na mtu mwanamke walio umbwa na Mola ni kina nani ?
Ukweli mtu wa kwanza kuumbwa ni Adamu, sasa kama kuna wengine ina bidi mtuambie ni kina nani na kwanini walikuwa ni watu, maana watu ni kwa jinsi ya wana wa Adamu.
Watu ni kwa silika, na unaposema hao watu haijulikani waliitwa kina nani, umeshaonyesha ya kuwa hapakuwa na tamko MTU kabla ya Adamu. Na mtu ni kwa lugha ya Kiswahili kumaanisha Mwana Adamu yaani asili yetu ni kwa Adamu.
Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.
Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.
Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.
Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.
Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.
Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.
Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.
Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.
Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.
Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.
Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.
Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.
Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.
Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.
Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.
Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.
Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.
Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.
Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.
Ndio utupe ushahidi. Maana watu sisi uzao wa Adamu asili yetu ni udongo, hao watu asili yao ni nini na wapi, na ushahidi wa uwepowa watu hao ni upi.
Pili, kwahiyo simulizi za babeli, zimenukuu Adamu alianzia wapi ?
Sio kweli na hili huwezi kulithibitisha. Nakufundisha sasa, na unaonekana ni mchachefu wa maarifa na umeanza kujadili haya mambo hivi karibuni.
Ukristo ndio dini mpya, Adamu alikuwa Muislamu na huyu ndio mtu wa kwanza kuumbwa. Kwa maana hiyo Uislamu haukutanguliwa na dini yoyote hapo kabla.
Pili, sababu ya Mola kuleta mitume ni baada ya binadamu kuanza kufanya ibada kinyume na inavyotakiwa,ndio Allah akaanza kumtuma nabii Nuhu kuja kuwafundisha watu. Hii ina maanisha ya kuwa kabla kulikuwa na dini moja dini ya Uislamu, ila watu wakaanza kukengeuka, ndio Allah akaamua kuchagua mja miongoni mwa waja wake, ili awakumbushe watu warejee katika asili.
Sasa unaposema kulikuwa na dini, inabidi utuambie ilikuwa lini hiyo dini na ilianzishwa na nani ?
Hakuna jibu sahihi nje ya Qur'aan kuhusu uumbaji.“ Ukweli mtu wa kwanza kuumbwa ni Adam”
Je huu ukweli wako ume base kwenye nini ?
And how did you come to the conclusion that the first man was Adam? What is your supporting evidence on this matter that everyone can check!
CAUTION!
Don’t quote anything from Qur’an neither from Bibble.
Thanks
How did you know that asili yetu ni Udongo ? What is your evidence support.?
Kindly share!
Caution;
Don’t quote anything from Qur an ; neither from Bible.
Nimejua kupitia Qur'aan.How did you know that Adam really existed, and he was Muslim?
Hata kabla ya Adamu hakuwa ni mwenye kutajika tamko "Uislamu" lilikuwepo.When did the word Islam came into existence? Or before the time of Muhammad, 2000 years way back; did the word Islam existed? Kindly confirm, and explain.
mythical stories in Qur an ,
Kindly provide the evidence.
Kwanini hujibu maswali niliyo kuuliza.CAUTION;
Don’t quote anything from Qur an neither from Bible. Once you quote anything from those scriptures, you will be considered to have breached our discussion.
Hakuna jibu sahihi nje ya Qur'aan kuhusu uumbaji.
Sasa unapotaka nisitoe ushahidi kwenye Qur'aan,inabidi uniambie nitoe wapi ushahidi nje ya Qur'aan.
Nakuuliza tu swali,umekiri ya kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adamu. Swali umejuaje hilo na aliumbwa na nani ?
Now, umeona akili yako inapozunguka eeenh ! That is what we call mental slave.
Emancipate yourself
Kukufuru ni nini ?Acha kukufuru,
Watoto wa mudi mnawaza ngono tu sijui kwanini??Kuhusu mwendelezo wa maendeleo baada ya Yesu ningekubali ikiwa angelikuwa aliacha kizazi toka kiunoni pake kabla ya kurudi kwa baba ake.
Unabwabwaja kama Al Shabaab, Boko Haram au Taliban.Hivi huu UONGO huwa mnashindwa hata kujistukia ? Mnausambaza tu ?
Hao mitume wakina Musa,Ibrahim,Dawood na wengine walikuwa hawana maarifa ?
Unaposema binadamu kushiriki uumbaji wa Mola ni kwa namna ipi ?
Nani alikwambia Mola alimuumba Adamu kwa sura yake ? Hapa kuna tatizo la lafudhi na maana ya kauli. Mola hafanani na kitu chochote.
Unaongelea maendeleo gani ? Au mathalani Yesu ana mchango gani katika maarifa ya ujenzi ? Umeme ? na mfano wake ?
Ni zipi sifa za mtu mwenye akili ?
Hali ya kimungu mliyo kuwa nayo kabla ni hali gani na kipi kilikuonyesha hali hiyo ?
Sasa mbona baada ya Yesu mambo yameendelea kukanganya sana katika upande wa dini yenu ya kipagani huku mkitumia kivuli cha mtume Issa/Yesu,mbona leo hii hamuwajui waandishi wa vitabu vyenu mnavyo viamini ajabu mna vifata ? Huu ni mkanganyo au sio mkanganyo ?
Unabwabwaja kama Al Shabaab, Boko Haram au Taliban.
Wewe ni Shia au Sunni?
Hiyo Hari ya kimungu,tuliipata wote,weusi na wazungu?Kwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.
Mtu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ndiyo kusema mtu ni mwili na roho aliyeumbwa kushiriki uumbaji wa muumba wake, Mungu.
Roho au wakati mwingine huitwa akili pia moyo ndiyo maarifa yote.
Pasipo akili au roho, mtu anakuwa sawa na mnyama au mimea, hakuna maendeleo yoyote.
Kwa kosa la Adam na Hawa, wazazi wetu wa kwanza lilijeruhi roho au akili.
Kwasababu hiyo uwezo wa mtu kutenda kiakili yaani kimungu uliondoka akawa sawa na wanyama.
Binadamu kwa muda mrefu sana ameishi kama mnyama. Hakuwa na maarifa yoyote.
Kwa karne na karne mtu aliishi kwa kutumia akili ya ufahamu. Hakuweza kuendeleza mazingira.
Kwa ujio wa Yesu Kristo, kwa Kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya sura na mfano wa Mungu yaani akili.
Yesu Kristo ndiyo chanzo cha maarifa yote. Ndiyo kwa njia yake binadamu anaweza kupata maarifa.
Maarifa tuliyonayo hii leo, maendeleo tulionayo hii leo ni kwasababu na kwa njia ya Yesu Kristo, Kifo chake.
Kabla ya Yesu Kristo mambo hayakuwa hivi yalivyo hii leo. Hakukuwa na maarifa pia maendeeleo kama haya baada ya Kristo.
Historia kabla ya Kristo haifahamiki kama ilivyo baada ya Kristo.
Hali ya mambo kabla ya Kristo ni ya kukanganya hivi kwamba inategemea maarifa baada ya Kristo kuitafiti.
Binadamu kabla ya Kristo, hata licha ya Mungu Mwenyewe kuwasaidia na wao wenyewe kumwomba Mungu kwa ajili ya ujio wa Kristo, bado hatahivyo, hali yao ya akili haikuwa imerejeshewa hadhi ile ya mwanzo ya kimungu tuliokuwa nayo kabla ya kosa la Adamu na Hawa.
Kwa ujio wa Kristo, kwa Kifo chake, tumerejeshewa hali ya kimungu yaani akili.
Pasipo Yesu Kristo, kifo chake, mtu asingeweza kuwa na maarifa haya tuliyonayo nyakati hizi, maendeleo. Angebaki kama walivyo wanyama.
Hivyo, mtu anaekataa yale Yesu Kristo aliamuru kwa njia ya Kanisa lake yaani mitume hawezi kupata manufaa ya akili.
Kama lilivyo jua chanzo kikuu cha nishati duniani. Yesu Kristo ndiye chanzo cha maarifa na maarifa yenyewe. Yeye ndiye mwanga. Pasipo Yeye hakuna maarifa, wala maendeleo.
Umechanganya madawa sana mkuu.Binadamu ana vitu vitatu,infact vinne kufuatana na his/her spirituallityKwa kosa la Adam na Hawa, mtu aliondelewa uwezo wa akili, hali ya kimungu.