kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,199
I'm deliberately free to say that "resurrection is not a historical event ".
HAHAHA KWANZA PUNGUZA JAZBA MKUU mwanamke pekee naempenda kwa dhati ni mamaangu, wengine nawapenda kwa machale, kitu chapili kila jambo na wakati wake kwa sasa mimi ni kataa ndoa mpaka hapo nitakapooa 2028, cha tatu kuoa ni jambo personal napenda nianzishe kizazi changu niwe na watoto, watoto wa nje ya ndoa sidhani kama wana baraka sana, hivyo lazima nioe
duh mbona hatareHakuna kitu kama baraka,zambi wala ujinga ujinga wowote kama huo ni imani tu na matango pori tumemezeshwa na wahuni.
Sio kila ukifanya ngono lazima usababidhe mimba,kaa kimasta wanawake wanatumia watoto kama kitega uchumi.Ukiwa hujajipata utasaga meno na madawati ya kijinsia.
Tamka haya maneno "mimi nina ujinga ujinga sababu ya poor brain yangu hata nikashindwa kurekebisha PC nikakesha naomba msaada ambao nao sikuupata mimi ni bure! YAVUZ YAKUZ"wee jamaaa umeanza kuwa kama mimi tuu..
Ujinga ujinga kibao
😂😂😂😂😂Daaah lile li computer la mchongo kubabek zake nishalitupilia mbali hukoTamka haya maneno "mimi nina ujinga ujinga sababu ya poor brain yangu hata nikashindwa kurekebisha PC nikakesha naomba msaada ambao nao sikuupata mimi ni bure! YAVUZ YAKUZ"