Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,561
- 22,876
Heshima mbele bandugu.
HERI YA PASAKA KWA MNAOIAMINI Easter(mimi siiamini naamini pasaka nyingine isiyoitwa Easter).
Lililonileta sio hilo, bali ni kufufuka kwangu, kivipi?
Noma mbona unatuchanganya kwani ulikufa? Ndio nilikufa, nilikufa kivipi fuatana nami mpaka mwisho.