Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,250
- 24,085
Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake
Luka 9:58
“Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana mapango; lakini Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake.”
Ina maana kwa umri huo wa yesu ujana wake wote alikuwa anafanya kazi gani na alikuwa anaishi wapi?
Maana kazi halisi ya ukombombozi site tunaijua kaifanya Kwa Wakati mchache tu almost miaka3 maana alianza akiwa na miaka 30!
Ni sahihi vijana wa kikristo kuwakemea na kumwambia wajenge nyumba Ili Hali kristo wao hakuwa nayo Wala hakueleweka alikuwa anaishi kwanani?
Yesu kama Role model wetu hapa tunajifunza Nini?