lachicaguapa
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 269
- 72
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

GOD always answers our players,his name should glorified!!!!
========
Wale wagonjwa kumi wa ukoma waliomwendea YESU awaponye, wote waliponywa,kwa hiyo hata hao wengine wenye experienceskama wangeingia kwa hiyo interview kwa kuliitia jina la YESU wote wangepata kazi,huwa anafanya mambo juu ya kawaida.
GOD always answers our players,his name should glorified!!!!
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
itahwa una ushahidi gani kama aliyekusaidia ndiye yesu. Toka lini yesu akabagua wana wake?. Vipi hao wanaopata kazi bila hata ya kumuomba huyo yesu watasema nini?.
Wewe kachape tu kazi haya mambo mengine ya nani amekupa kazi waachine wale waliokupa interview na kukuchagua.