GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yataongelewa mengi sana. Kwa makosa au hata kwa usahihi... Ila ukweli unabaki CHADEMA IMEKUFA. Ratiba ya mazishi inaanza January 2026.
 
Lissu na Chadema wana mahasimu, maadui na mamluki wengi mno waliowazunguka.

JokaKuu zitto junior

..Yericko na James ni watu wanaohama chama hivyo ni jambo la kawaida kuwa watatema nyongo.

..jambo la msingi ni mambo watakayoyafanya mbele ya safari yao ya kisiasa.

..unajua chama cha siasa na mwanasiasa lazima waji-brand. Kuna brand ambayo Chadema wanayo.

..Yericko na James wameachana na brand ya Chadema hivyo wanatakiwa watengeneze brand mpya katika makazi mapya ya kisiasa.
 
Chama kimekufa halafu;
1. Unauta press kukizungumzia kwa kina
2. Unatangaza kukihama hicho chama (kilichokufa!) ili kuhamia chama kingine.
 
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA

Huyu jasusi uchwara kafilisika, Wewe unasema wenzako wamekufa kwasababu wamekataa kuwa MACHAWA 😀😀😀😀, Then mmewafunga KAMBA za Mikono ukadhani wata Surrender lakini wapi? The Storm is Coming tutayajua yote yaliyo Behind the Curtain, For the time being let us focus on #NoReformNoElection
 
Tulikubaliana hata ukishindwa hakuna kuhama chama. Cha ajabu walioasisi kauli hii wamekua wa kwanza kuivunja. Wanaepulaje kuitwa wasaliti na madalali wa siasa?.
 
RIP Chadema
1992-2025
Tutakukumbuka daima.
 
Looh! Kumbe huyu Yeriko huwa ana uwendawazimu mpaka wa kiwamgo hiki! Hata huko alikoenda, wamepata hasara kubwa!!
 
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA

Huyu ni Deo Kisandu part two. Kwanza akili zake haziko sawa halafu anajipa tuzo za ''vitabu'' ambavyo havina mantiki yoyote kama ukivisoma. Ni muunganiko wa maneno yasiyoleta logic yoyote ambayo ana-copy na ku-paste...
 
Looh! Kumbe huyu Yeriko huwa ana uwendawazimu mpaka wa kiwamgo hiki! Hata huko alikoenda, wamepata hasara kubwa!!
Mkuu ndiyo unajua leo? Ulikuwa unamjua jamaa alikuwa anaitwa Deo Kisandu? Aliwahi kuwa CHADEMA na akikuwa kama Yeriko copy. Ni watu ambao vichwa vyao haviko sana ila siyo vichaa per se.
 
Mkuu umesahau kua chadema kimepata nguvu miaka ya karibun? Cuf na ncccr mageuz zilikua mataita enzi za kina lipumba saiv hakuna kitu
Unatoka chama maiti unahamia chama mzoga. Hii akili kweli? Mtu ukishasema huna dini basi hata akili unakuwa huna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom