Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,406
- 6,228
Ni mkulima wa mboga mboga
Acha kumfananisha mkwawa na vitu vya kijingaNi memba mwenzetu wa Jamii Forums kama walivyo kina Simiyu yetu, Ritz, Pasco n.k
ni mtoa mada mzuri ambaye anatetea sana sera na misimamo ya Chadema na Upinzani kwa
ujumla, Ni mpinzani na mwanaharakati mkubwa ambaye namfananisha na MKWAWA.
ni jasusi na nimtaamlamu wa maswala ya kompyuta!! alianza kuongea lugha za kigeni kama Russian language angali akiwa na umri wa miaka 10 tu ...
alianza kutumia internet miaka ya 80 akiwa russia ..
pia alisema amesomea maswala ya siasa
anaishi mbutu kigamboniNdugu zangu naombeni mnisaidie kitu, hivi huyu Yeriko Nyerere ni nani hapa Tanzania make watu wengi huwa wanamtaja mara kwa mara.
Na pia itakuwa vizuri kama yeye yupo hapa jamiiforums ajielezee kidogo, kwani natamani kumjua tu, kwani nimekutana na jina lake mara nyingi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Mkuu msalimie Habib MchangeNdugu zangu,
Kwa sababu huyu mwenzetu anaueitwa Yericko Nyerere ni mwenyeji humu JF labda atueleze kwani nimepita mahali katika vitongoji vya Kigamboni picha hizo hizo zikitumika kwa watu tofauti lakini sura zinafanana.Je hawa watu ni mtu mmoja au mapacha?
Mwenye taarifa atujuze kwani tumezoea kuiona picha hiyo ikitumiwa na "mchambuzi huru wa siasa" anayejiita Yericko Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka umteke????????? nyie mnao lipwa buku 7 noma sanaNdugu zangu,
Kwa sababu huyu mwenzetu anaueitwa Yericko Nyerere ni mwenyeji humu JF labda atueleze kwani nimepita mahali katika vitongoji vya Kigamboni picha hizo hizo zikitumika kwa watu tofauti lakini sura zinafanana.Je hawa watu ni mtu mmoja au mapacha?
Mwenye taarifa atujuze kwani tumezoea kuiona picha hiyo ikitumiwa na "mchambuzi huru wa siasa" anayejiita Yericko Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu,

Mkuu msalimie Habib Mchange
wakati ni huu , usivunje katiba kwa kukalia habari .Yani mchange hua namchora tuu. ? ipo siku nitalipua bomu tuu.maaana namjua uzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app