Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Ha ha ha! Ilisaidia kupiga stori bila wasiohusika kuelewa.Ni kweli na sisi tulikua na mtindo wa tofauti ,tunaweka "CHI" kila baada ya herufi mbili zinazounda neno mfano neno wewe ,wechiwechi basi tukiwa tunaongea mtaani wazazi wanashangaa hawa watoto ni matahahira nini ,utoto raha sana