Yericko Nyerere ni nani?

Yericko Nyerere ni nani?

Ndugu zangu naombeni mnisaidie kitu, hivi huyu Yeriko Nyerere ni nani hapa Tanzania make watu wengi huwa wanamtaja mara kwa mara.

Na pia itakuwa vizuri kama yeye yupo hapa jamiiforums ajielezee kidogo, kwani natamani kumjua tu, kwani nimekutana na jina lake mara nyingi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Ni mkulima tu wa Huko Mbutu Kigamboni aliyeachana na uchawa akarejea akili zake.
 
Tupia CV Yako YERIKO NYERERE!!!!

Maana pamoja na utata wa Magu, kwako ni kama alilalama!!!
 
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kitu, hivi huyu Yeriko Nyerere ni nani hapa Tanzania make watu wengi huwa wanamtaja mara kwa mara.

Na pia itakuwa vizuri kama yeye yupo hapa jamiiforums ajielezee kidogo, kwani natamani kumjua tu, kwani nimekutana na jina lake mara nyingi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Du! ni kolo mmoja anaependa kujinasibisha na ujasusi lakini hana hata beji ya mgambo wa kijiji,
 
Yericko ni mtu anayejua mambo
Ni mtunpoa sana nilipata bahati ya kuonana naye anajua mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom