Yericko Nyerere ni nani?

Yericko Nyerere ni nani?

IMG_20160601_143231.jpg
IMG_20160602_175158.jpg
 
Ni Nyumbu mmoja anae ishi kwa kutumika kisiasa
Niki geugeu mmoja hodari sana
usije amini kila anacho kisema
kwani kesho hugeukia upande uleule alio usema kama shetani jana
acha ujinga,msipoolewa mnaanza lalamika ooh wanaume wa siku hizi wabaya.tulia utapata mme bora
 
Wivu mwingine hauna maana na wala haujengi zaidi ya kubomoa mtu anajishughulisha kutoa kile alichonacho kwa jamii lakini anatukanwa anasemwa vibaya ila angeandika mzungu kusingekuwa na kelele Yericko songa mbele kijana usikate tamaa wewe ni miongoni mwa watu mliothubutu
 
Yericko Nyerere ni mwandishi wa kitabu, "UJASUSI WA NA KIUCHUMI". Kitabu chake
ISBN-13: 978-9976993608
ISBN-10: 9976993609

Waweza kisoma,

Kinapatikana amazon vilevile Amazon product ASIN 9976993609 (link yaweza change).

Ukitaka kumfahamu zaidi, nunua kitabu soma
 
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kitu, hivi huyu Yeriko Nyerere ni nani hapa Tanzania make watu wengi huwa wanamtaja mara kwa mara.

Na pia itakuwa vizuri kama yeye yupo hapa jamiiforums ajielezee kidogo, kwani natamani kumjua tu, kwani nimekutana na jina lake mara nyingi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
BIOGRAPHY FOR YERICKO NYERERE

Yericko Yohanesy Nyerere was born on 04 April 1983 in the village of Maduma, Mufindi district, Iringa-Tanzania. Nyerere is the author of the ground breaking books "Strategy: The Road to Power" and “State and Economic Competitive Intelligence”. He is also a famed Tanzanian intellectual article writer on intelligence, politics and economic issues.

Currently, He is enrolled for Bachelor degree of Forensic Psychology in The Distance Learning Center UK,

He holds double certificates of Forensic Psychology from Open University UK (2016-207), and Forensic Investigation from International Institute of Certified Forensic Investigation Professionals Inc, in collaboration with Osulivan Associates International - USA (2015),
Bachelor degrees of Electrical and Computer Engineering from Beijing Information Technology College of China, graduate class of 2008.

Furthermore, he has attended several professional courses, including Political Strategy in 2009 from Zabaykalsky Institutes in Russia, Corporate Governance in 2010 under Turkey Contractors Registration Board, Equipment and Resources Management Course in 2011 and 2012 respectively.

As a proffesional career, Yericko Nyerere works at YECCO GROUP Limited, as the Chairman.
Since 2010 to July 2015, Yericko Nyerere was a security adviser to the Secretary General of CHADEMA Dr. Wilbrod Peter Slaa, before his resignation from both office and party membership around July, 2015. As a political outspoken activist, Yericko Nyerere is reknown for his insightful talks on political changes and economic progress in Tanzania, his works have fostered a great deal of influence on majority opions to decision makers and political leaders. He has been a political inspiration for changes and youth involvement and participation in regime and economic changes agenda.

His writing journey began in 2011, where he writes articles that are published on digital and print media in Tanzania. Some of newspapers that publish his works are Rai and Mwanahalisi just to mention few. He mostly writes on Intelligence and Politics. His literary legacy on writing is also manifested on Winning Strategy for Coalition of Opposition Parties in Tanzania during general election in 2015, where He wrote it himself.
On the matter of national changes, He is proud that he advised the government to create special department for economic intelligence and the government worked on it, and currently the department is already functioning. More importantly, his book State and Economic Competitive Intelligence, has been instrumental to the presently hurried State House as well as Government Head Ministrial Head Quarters changes from Dar Es Salaam to Dodoma.

Email: yerickonyerere@gmail.com

Sources
FORENSIC PSYCHOLOGY COURSE - Criminology & Forensic Courses

http://www.open.ac.uk

YECCO (T) LIMITED | Contractors Registration Board





http://rai.co.tz/2016/06/16/tunaibiwa-uhuru-wetu-katika-katiba/

https://tz.linkedin.com/in/yericko-nyerere-71bab828

Uchambuzi wa Mwanaharakati Yericko Nyerere kuhusu Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi DRC ~ Kulikoni Ughaibuni

Yeriko Nyerere afikishwa mahakamani

Amazon product ASIN B01GPXFDB6
IICFIP | International Institute of Certified Forensic Investigation Professionals Inc.
 
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kitu, hivi huyu Yeriko Nyerere ni nani hapa Tanzania make watu wengi huwa wanamtaja mara kwa mara.

Na pia itakuwa vizuri kama yeye yupo hapa jamiiforums ajielezee kidogo, kwani natamani kumjua tu, kwani nimekutana na jina lake mara nyingi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
...kihere here wa chadema asiye na wadhifa wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom