Yericko Nyerere ni nani?

madeinmusoma

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
324
387
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kitu, hivi huyu Yeriko Nyerere ni nani hapa Tanzania make watu wengi huwa wanamtaja mara kwa mara.

Na pia itakuwa vizuri kama yeye yupo hapa jamiiforums ajielezee kidogo, kwani natamani kumjua tu, kwani nimekutana na jina lake mara nyingi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
 
Nijuavyo mimi ni mwana jf mwenzetu aliyepata misukosukosuko mara baada ya uchaguzi cjui kwa madai ya kuandika habari za kichochezi mitandaoni..nasema cjui kwani ckuona kosa hasa la kukamatwa..ngoja ujuzi zaidi waje
 
Ulikuwa mtindo wetu maarufu kuwasiliana enzi za primary & secondary school.
Ni kweli na sisi tulikua na mtindo wa tofauti ,tunaweka "CHI" kila baada ya herufi mbili zinazounda neno mfano neno wewe ,wechiwechi basi tukiwa tunaongea mtaani wazazi wanashangaa hawa watoto ni matahahira nini ,utoto raha sana
 
Back
Top Bottom