Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,582
Pia ni mfanya biashara maarufu na Ni jasusi aliyesomea Urusi.... Teh TehNi bwamdogo mmoja anayejifanya kachero na jasusi wa kimataifa...kwa kuongezea tu, juzi juzi hapo alikuwa ana post ulabu wa ajabu, kwa kutumia Cyber Crime Law, wakuu wakaamua kumuadabisha...Sasahivi adabu mbele