Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,299
- 9,797
Ungefanya utaratibu wa kuziweka hizo picha ili kuipa hadhi hii taarifaNdugu zangu,
Kwa sababu huyu mwenzetu anaueitwa Yericko Nyerere ni mwenyeji humu JF labda atueleze kwani nimepita mahali katika vitongoji vya Kigamboni picha hizo hizo zikitumika kwa watu tofauti lakini sura zinafanana.Je hawa watu ni mtu mmoja au mapacha?
Mwenye taarifa atujuze kwani tumezoea kuiona picha hiyo ikitumiwa na "mchambuzi huru wa siasa" anayejiita Yericko Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Juliana shonza ni yule yule wakudadavuwaNdugu zangu,
Kwa sababu huyu mwenzetu anaueitwa Yericko Nyerere ni mwenyeji humu JF labda atueleze kwani nimepita mahali katika vitongoji vya Kigamboni picha hizo hizo zikitumika kwa watu tofauti lakini sura zinafanana.Je hawa watu ni mtu mmoja au mapacha?
Mwenye taarifa atujuze kwani tumezoea kuiona picha hiyo ikitumiwa na "mchambuzi huru wa siasa" anayejiita Yericko Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mchange hua namchora tuu. ? ipo siku nitalipua bomu tuu.maaana namjua uzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee naona unaitafuta ban kwa jitihada za ajabuajabu. Humu JF, memba wapo kama kwenye kilinge cha wachawi, ukimgundua mwenzako unakausha kama vile hujamuona
Mzee naona unaitafuta ban kwa jitihada za ajabuajabu. Humu JF, memba wapo kama kwenye kilinge cha wachawi, ukimgundua mwenzako unakausha kama vile hujamuona

yeye kamuumbua mwenzake ngoja na Sisi tumlipue tu Nyerere ni jina, kila mtu anaweza kumpa mwanae, na mara nyingi watu huwapa watoto qao majina ya watu maarufu, kuna shida gani hapo.nyerere child wanna be.
anataka nyerere awe baba yake badala ya baba yake halisi
Yaani kwa kauli yako Yericko Msambila ndiye Yericko Nyerere?
Mkuu,hiyo avatar unayotumia ni picha ya mbuni au ya kitu gani?
Mimi sitaki tu kutoa jibu soma uzi vizuri na comments utaelewaYaani kwa kauli yako Yericko Msambila ndiye Yericko Nyerere?
Kumkana baba ni laana kubwa sananyerere child wanna be.
anataka nyerere awe baba yake badala ya baba yake halisi
Wanafahamiana hawa watu au ndugu mkuu?Msambila= Chahali wanatoka sehemu moja na sifa kubwa ni kutojitambua na kutumikishwa. Hivyo, nina uhakika Yericko hawezi kuwa ukoo wa Msambila! Yericko ni kichwa kingine kabisa!
Jinga wewe subiri mwenyewe aje aseme yeye nani..sio mikasuku nyie. Utasikia ooh mbunge mmoja cdm sawa wabunge wote wa ccm..ooh lissu ana akili dunia nzima hata trump anampenda. Wakati mbunge cdm anapoteza jimbo eti alikua analea mimba ya mkewe.Yerrico ni kijana anayewapa tabu sana Uvccm yani kiufupi Yerrico mmoja sawa na Uvccm 100+