Yepi majukumu ya First Lady?

Ni vyema kama itaandikwa mahali ili mke wa Rais ajue ana majukumu gani,ila wakwetu ni kiboko kama husband full matrip sijui yule dogo wao anaitwa Chodo anawaona saa ngapi au ndo kupitia usokitabu a k a Facebook
 
Ni kweli ana agenda za kisiasa ndio maana kagombea kuwa mjumbe wa mkutano mkuu wakati tayari mmewe ni raisi, funy!! Inawezekana kashakua na ndoto za Hilary Clinton.
Hilary Clinton ni Gwiji, anajisimamia mwenyewe, hategemei mbeleko, huyu mke wa Kikwete, aah hawezi, msikilize anavyotoa hoja, angalia mpangilio wake wamaelezo na sentesi, hana karama ya uongozi, mwepesi kichwani, uraisi ni taasisi ngumu na nyeti anapwaya hata ukatibu kata.
 
Mara nyingi JK anapotoka mbona aambatani naye? anaogopa labda atamwaibisha kwa kuwa mwepesi kichwani ua Katiba ya nchi haimruusu ku Vasco Da Gama na mumewe?
 
Yaani kutembea sana kwake ndo inamfanya bora zaidi kuliko Mama Anna Mkapa? We kweli umekaa kishabiki sana. Huoni kwamba anatumia pesa za umma kutembea na kutoa misaada, sasa waziri wa wanawake na watoto ana kazi gani basi? Afadhali hata Kagame kaamua kumpa uwaziri kabisa mkewe.
Ila huyu festiledi wa sasa ni porojo tu na kutumia vibaya pesa za taifa. Afanye kazi za kusaidia jamii kwa kutumia funds zake mwenyewe, siyo kutegemea pesa zetu za kodi.

Mhh sina uhakika kama Mama Kagame ni Waziri ila nilisikia Mke wa M7 ndo Waziri.
 
Mara nyingi JK anapotoka mbona aambatani naye? anaogopa labda atamwaibisha kwa kuwa mwepesi kichwani ua Katiba ya nchi haimruusu ku Vasco Da Gama na mumewe?
hilo ni A, la maana hapa ni kwamba anatumia raslimali nyingi bila return, hapa ni swala na maisha ya ufahari na ulimbukeni wa madaraka, ni kuinyonya nchi hii bila sababu, ipo siku tutajua matumizi ya mama Kikwete ya mwezi ni Shilingi ngapi. inakera kuona kodi zetu zinaliwa na watu wa Aina hii.
 
Ingawa anayechaguliwa huwa ni Rais (ikiwa ni mwanaume) lakini kumekuwa na mabadiliko na mtazamo mpya kuhusu hao wake wa maraisi "First Ladies". Imeonekana katika jumuia ya kimataifa ni vema na wao wakawa na majukumu fulani fulani, hasa ya kijamii. Wanakuwa kama mabalozi wa waume zao "Rais" katika shughuli za kijamii kama uhamasishaji wa chanjo, mambo ya mama na mtoto "MCH", uchumi wa kina mama na kadhalika. Ndio maana kwa hivi sasa kwenye vikao vya marais kama mkutano wa AU, wake wa ma-rais huwa na mikutano yao tofauti inayozungumzia huduma za kijamii. (Off course wanapata posho kwa kufanya hivyo).
Turudi hapa, nampongeza huyu wa sasa walao anachokifanya kinaoneka, anakwenda kwenye ziara, anatembelea vikundi mbalimbali hasa vya kina mama, anahutubia, (kumbuka akisimama jukwaani porojo za kisiasa zitakuwepo tu kwa kuwa ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM taifa). Lakini kwa ujumla nampongeza sana kwa kazi anayofanya. Huyu wa sasa ni bora sana kuliko aliyepita.
Kusafiri peke yake ni kujituma. Hasubiri ziara za mumewe. hata hivyo ujue pia kuwa akialikwa mahali analipwa.
...Hapa mi ndio pananipa homa. Analipwa kutoka fungu gani? Hivi haya matumizi yanakuwa budgeted kweli kwenye bajeti ya nchi ya kila mwaka au wanajichotea tu wanavyojisikia???
 
Mhh sina uhakika kama Mama Kagame ni Waziri ila nilisikia Mke wa M7 ndo Waziri.

Afadhali umenisaidia. Tatizo la watu wengi sasa ni kutoa lawama tu kwa sababu tu ya uhuru waliopewa wa kuongea. "Susuviri" anadhami mie ni shabiki. Anadhani kila maoni yanapotoka ni ushabiki. Dhana ya mke wa Rais kuitwa First ladies sio ya zamani. Imesisitizwa miaka ya hivi karibuni baada ya kuona wanawake hao wana wajibu pia wa kuitumikia jamii.
Hii dhana ya First Lady tumeiiga kutoka Marekani na sasa hivi imesambaa ulimwenguni kote. Kwa hiyo sii ajabu mama Kikwete kufanya hayo anayoyafanya. Hebu soma link hiyo uone First Lady ilikoanzia
http://www.answers.com/topic/first-lady
 
Hivi kna fungu serikalini la mke wa rais au anatumia fungu la mumewe?
 
Yaani kutembea sana kwake ndo inamfanya bora zaidi kuliko Mama Anna Mkapa? We kweli umekaa kishabiki sana. Huoni kwamba anatumia pesa za umma kutembea na kutoa misaada, sasa waziri wa wanawake na watoto ana kazi gani basi? Afadhali hata Kagame kaamua kumpa uwaziri kabisa mkewe.
Ila huyu festiledi wa sasa ni porojo tu na kutumia vibaya pesa za taifa. Afanye kazi za kusaidia jamii kwa kutumia funds zake mwenyewe, siyo kutegemea pesa zetu za kodi.

hivi ni kagame au Museveni aliyempa mkewe aka first lady uwaziri?naomba kuweka kumbukumbu sawa wajukuu zangu
 
Ehee watu muwe na shukrani akiwa mzembe na mvivu ohh mzembe hajitumi, hajui wajibu wake, hawajibiki. Mama wa watu yuko busy ohh maneno kibao LIPI JEMA
 
...Hapa mi ndio pananipa homa. Analipwa kutoka fungu gani? Hivi haya matumizi yanakuwa budgeted kweli kwenye bajeti ya nchi ya kila mwaka au wanajichotea tu wanavyojisikia???

Ofisi ya Rais ina fungu la matumizi ya Rais (ingawa sina uhakika lakini kwenye terms of reference za utumishi wa Rais hayo ni mambo ya kawaida {kwa Waafrika}, hana wa kumkagua. Analipwa kutoka hapo. Sasa, kuna mialiko ambayo huwa analipwa na waliomualika. Nisichojua ni kama akienda analipwa Ikulu (au WAMA) na kule anakoenda! Hilo ndio sijui.
 
Kwa hiyo kama analipwa kwa pesa za walipa kodi basi hatuna cha kumsifia,Na isitoshe misafara mingi ni mambo ya kisiasa yanayofaidisha wachache.
 
Hivi mke wa rais ana majukumu gani ktaifa?Mbona huyu wa sasa anafanya shughuli nyingi za kisiasa na mara nyingi husafiri on her own unlike her predecessors?

Jamani huyo ni mke wa JK, kwa nini uulize majukumu yake? Wewe mtu anaweza kuja kukuuliza majukumu ya Mkeo ktk familia???
 
...Hapa mi ndio pananipa homa. Analipwa kutoka fungu gani? Hivi haya matumizi yanakuwa budgeted kweli kwenye bajeti ya nchi ya kila mwaka au wanajichotea tu wanavyojisikia???
Sijui anachota kwenye budget ya mzee ya chai na vitafunwa! au vipi? Haya matumuzi ya hovyo hovyo ya kodi yetu, sina uhakika kama mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali anayajua na anampango gani nayo! Vipi matumizi yake kama yangeelekezwa kwenye kutengeneza madawati, ndani ya miaka mitano ni shule ngapi ambazo watoto wanakaa chini, angalau wangelipata mahali pa kuweka makalio yao, ili hali wakisubiri mgomo wa waalimu wao waliokopwa na serikali uishe.
 
Afadhali umenisaidia. Tatizo la watu wengi sasa ni kutoa lawama tu kwa sababu tu ya uhuru waliopewa wa kuongea. "Susuviri" anadhami mie ni shabiki. Anadhani kila maoni yanapotoka ni ushabiki. Dhana ya mke wa Rais kuitwa First ladies sio ya zamani. Imesisitizwa miaka ya hivi karibuni baada ya kuona wanawake hao wana wajibu pia wa kuitumikia jamii.
Hii dhana ya First Lady tumeiiga kutoka Marekani na sasa hivi imesambaa ulimwenguni kote. Kwa hiyo sii ajabu mama Kikwete kufanya hayo anayoyafanya. Hebu soma link hiyo uone First Lady ilikoanzia
http://www.answers.com/topic/first-lady
..it is only in this country where fucken opinions of this type can be given!
This woman is limbukeni wa madaraka! only causing unnecessary damage to the nation in terms of resources and our dignity in front of other nations!
Nilitegemea atafanya juhudi angalau aambulie ka degree ka ukubwani,kuliko kuzurura! hata wanaomzunguka uwezo wao wa kumshauri uko questionable! ...we ask her to stop doing that! our constitution does not shoulder her to do the way she is doing! awaachie wale ambao wako trusted na katiba kufanya anayofanya!
Na wala sisi hatuko hapa kuiga yale wanayofanya marekani au hata malawi!!
Huu umaskini tumezaliwa nao! atumie hiyo wama yake kusaidia akiwa nyumbani kwake!! hata akiacha nothing wrong would happen!
 
Mimi naona amechukua kazi nyingi za Makamo wa Rais. Kawaida First Lady anafanya kazi za kijamii siyo mambo ya kisiasa.Labda anategemea ubunge badaye
 
Mimi naona amechukua kazi nyingi za Makamo wa Rais. Kawaida First Lady anafanya kazi za kijamii siyo mambo ya kisiasa.Labda anategemea ubunge badaye

aise unacheza na Salma? uchaguzi wa 2005 alikuwa anafanya mikutano ya ndani na akina mama na alifanikisha sana kura za wamama. Tena sasa kisha anza kampeni kwa mtindo ule ule baada ya kuona dhahiri kuwa vijana na wababa wanaelekea kumkataa JK mwakani, amejikita kumkusanyia mme wake kura za wamama.
 
hivi rational ya kuwa na msafara ni nini........ nilimuona huyu mama akipita na king'ora na escort......magari ya watu yamesimamishwa!.......wajuvi mtujuze tafadhali......
 
Back
Top Bottom