Acha umbea Kipipi
dah...kumbe dingi yake Mtambuzi ni mutu mubayaaaaaa?
mzee mzima umeulizwa mwanao Cantalisia yuko wapi mbona hujibu? Au ushamwozesha kwa Rejao?Hivi wanawake hawaoi mitala.....?
Naomba unipose Mcharuko...........
Heee mi nimeulizwa . . .sasa kwa nini niongope?
mzee mzima umeulizwa mwanao Cantalisia yuko wapi mbona hujibu? Au ushamwozesha kwa Rejao?
Halafu weweee, hivi unajua unalumbana na nani hapa..
Siku ukinijua utapiga magoti kuomba radhi, waulize wenzio waliowahi kukutana na mimi walinywea kama nini.
Mimi ni mutu mukubwa katika NCHI HII......................LOL
Aaaah mi mwenyewe nimekuwa mtazamani tu siunajua tena umri unaenda sasa....mwaka unakaribia kwisha sasa tunawaachia akina Bishanga waendelee kuvutana kidogokaka nipo bwana, nishazoea maisha ya celibacy siku hizi, sina tabu tena...
Sarakasi za mabinti nimewaachia ninyi............LOL
Nachojua mutu mukubwa ni yule mzee wa busara
Anaogopeka kotekote, ukibisha nusu sekunde anakugeuza nzi!
Sikujua hicho ndo cheo chako dingi!
Hivi hujui kwamba nishahukumiwa mara nyingi kwa kesi za kubaka eh!
Huyu jogoo wangu akiwika haangalii hata vifaranga..............shauri yako..............LOL
hahahaahahhahahhahahahah piritoni ilikuwa uwanja wa taifa lol!Halafu weweee, hivi unajua unalumbana na nani hapa..
Siku ukinijua utapiga magoti kuomba radhi, waulize wenzio waliowahi kukutana na mimi walinywea kama nini.
Mimi ni mutu mukubwa katika NCHI HII......................LOL