Dragonfire
Senior Member
- May 5, 2015
- 163
- 84
Nani anaweza elezea mshana Jr ni nani, ni mganga wa kienyeji au anakopy maali then anatupia, nijuzen jaman Huyu jamaa bado sijamuelewa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nani anaweza elezea mshana Jr ni nani, ni mganga wa kienyeji au anakopy maali then anatupia, nijuzen jaman Huyu jamaa bado sijamuelewa
Aamen dada barikiwa zaidi na zaidi...pls usipotee sanaNasoma comment naangalia mbinu hapo hw to stand up kwa Mungu aliye hai.
Kama mtu anaweza kunena maneno mabaya na kumpata mtu;
Hata sisi tunaweza kusimama kwa Mungu kujinenea maneno kwa kuyabatilisha maneno yao; unatumia the same method kitu tofaut ww unakua kwa Mungu aliye hai. mfano wa vitu maji; chumvi; miguu yan nyayo.
Watu tunapitia mengi. Bt Mungu yupo juu ya vyote.
Asanten mlio comment mliyo yapitia.
Mkuu stori yako ngumu kueleweka dahMkuu jichawi unalosema kweli japo mimi siyo mganga ila niliwahi kutana na kitu kama chako.
Mwaka 2009, nilienda mtembelea binamu yangu alikuwa kaolewa na mganga. Mimi ndipo nilikuwa nimeingia kidato cha tano, wao walikuwa wanaishi maeneo ya nyaishozi huko tegeta.
Wakati niko pale akaja baba mmoja na mkewe wakasema mtoto wao wa kike anaumwa sana anahitaji matibabu ya haraka sana.
Yule mme wa jirani yangu akawambia sasa mbona mgonjwa hamkumleta, wakamwambia ataletwa jioni. Akawambia nenda nielekezeni mnapoishi nitakuja nimwone kwanza huko huko.
Wakamuelekeza kumbe walikuwa wanaishi sehemu siyo mbali na hapo, walipoondoka baadae mme wa binamu yangu akaniomba nimsindikize akamwone huyo mgonjwa.
Tulipofika kweli tulimkuta mdada anaomwa kakonda kweli yani alikuwa katika hali mbaya sana kakonda kweli na mbaya zaidi alikuwa na mtoto mdogo.
Akawatajia vifaa halafu tukaondoka. Ajabu kesho yake nikamuuliza mbona yule mgonjwa hakuletwa, akanijibu usiku alifuatwa na mama yake akamwambia yule ni mwanaye anataka mtoa kama nyama kwenye mambo yao. Alikuja tu kwa shinikizo la baba mme wake.
Na nilikuja ambiwa kuwa yule dada alifariki.
Hapo hapo akanisimulia tukio lingine kuwa aliwahi letewa mgonjwa anaumwa sana aliletwa na mkewe.(yani mke alimleta mmewe)
Akakaa naye pale siku tatu anamtibu pale, siku ya ijumaa akaamka kama kachanganyikiwa akaanza gawa nguo vitu vyake kwa wanaye, analipa madeni na kila kitu.
Mara sauti ikawa inamwambia kimbia kabla hazana haijaita uwahi kwa baba yake huyo mgonjwa ukamuone.
Anadai akachukua baiskeli bila kuga mtu mpaka kwa baba yake huyo mgonjwa alipofika akamkuta mzee yuko nje anafanya usafi. Akakaribishwa ndani na huyo mzee, mzee akamwambia si unajifanya kidume sasa tutaona kati yangu mimi na wewe nani zaidi.
Mara eti akamuona yule mgonjwa aliyemuacha kwake anamtibia kaja na glass ya maji akamletea mzee akamwambia pokea, jamaa akapokea akamwambia chagua kati ya kunywa yote na kunywa nusu.
Jamaa akanywa yote, akamwambia bahati yako haya nenda..
Alipofika akamwambia mke wa jamaa mgonjwa kanishinda kumbe baba yake jamaa ndiye alikuwa anataka mchukua mwanae msukule kwa ajili ya biashara zake. Na kesho yake akapata taarifa kuwa mgonjwa kafariki.
Laito yale maji angekunywa nusu naye angekufa.