Mkuu hebu washikishe adabu hawa lumumbabuku7 basi....wafanye wasiende toilet miaka mitano tuNgoja wale jamaa waamke
Dawa yao ni kuwaignore...never tusiwaquote hao ni great sinkersMkuu hebu washikishe adabu hawa lumumbabuku7 basi....wafanye wasiende toilet miaka mitano tu
Ovaaa
Ngoja niwaripoti TRA kabisa wawapigie hesabu ya kodi mapemaaaa kabla hamjaanza kukwepaNgoja wale jamaa waamke
Hahaha tuwaongezee tu hahahaHicho wanachokipata kwasasa kinawatosha
Umeshajaribiwa mshana jr,wewe hawakuwezi[emoji60] [emoji60] [emoji67]View attachment 333904
Hakuna kazi inayokosa changamoto, hata uwe mwerevu na mahiri vipi lakini lazima tu utakutana na kisiki
Waganga wa kienyeji nao hawajapona kwenye hili wengi walishapitia na majanga makubwa tu
Ukiacha yale ya kitapeli wa na wateja au kuua wa live au kupokea kichapo lakini vile vile kuna majanga kama haya
-kumchinja kuku kisha asife bali asimane bila kichwa
-kumchinja kuku kisha asitoke tone la damu
-kupasua nazi ikatae kabisa kupasuk
-kupika nyama isiive kabisa nk nk
Kuna baadhi ya waganga huwakataa wateja...kwakuwa wanajua huu ni mtego, kwenye ulimwengu wa roho ulimwengu wa giza kuna kujaribiana na kuoneshana nani zaidi
Zipo njia nyingi tu za mapambano ya aina hiyo na hii hutokea zaidi mmoja akiwa mahiri zaidi ya wengine au mmoja akijifanya mjuzi sana na kutambia wengine
Unaposikia mganga kafa kaugua au kapatwa na dhahama yoyote mara nyingi huyo kajaribiwa na wenzake.
Akipambana akashinda cheo huongezeka akipambana akashindwa lakini akaokoka na kifo aidha huacha kabisa uganga na kumrudia Mungu au hurudi kujipanga upya...sio wote wanaoacha uganga na kuokoka hufanya hivyo kwa ridhaa
![]()
Nimecheka sana hii.....Nikweli wife ananiambia kuna Jirani yetu hapa alikuwa na shida ya mtt sasa kaenda kwa Mganga...huko kaambiwa alale chali K..iwe wazi ashikirie kiBUYU kwa mikono miwili Ila dawa iingie kunako basi huyo Mama anasema wakati anatoka alifeel aibu kwelikweli manake.....Alimkamua hapo chumba cha mganga wateja wengine wakiwa nje wanasubiri kuhudumiwaIla saa nyingine uganga ni mzuri kwenye inshu za kugegeda unamwambia mteja mdada mrembo kuwa dawa inatakiwa iingie ndani,unaipaka kwenye dushe halafu unamchapa nao.
Huyu jamaa ametokea kuzimuMh mshana! ulisomea chuo gani hizi mavitu?!