Kiukweli watanzania mnanishangaza,yaani tangu mwaka 1973 lilipoundwa baraza la mitihani ,baraza hilo limekuwa likiongozwa na katibu mtendaji mroma.wote mnao dai kuwa kiongozi hachaguliwi kwa kigezo cha dini yake,na hata mimi naunga mkono kiongozi achaguliwe kwa uwezo.lkn swali hapa ni je watanzania wenye uwezo ni lazima wawe wakatoliki tuu.pamoja na hayo je hakuna waislam au madhehebu mengine wenye uwezo mpaka baraza la mitihani la taifa likawa kama PAROKIA? Haya mambo ya kujimilikisha taasisi za umma ndio yaliyoleta machafuko nchi za wenzetu na sasa umefika wakati kwa rais kulifanya baraza la mitihani kuwa na sura ya kitaifa na si parokia tena kama wanavyolfanya sasa.