Huenda ukawa mfuasi wa Al-Shaabab, hivi akiwa mwislamu atawafanyia mitihani? hapa jambo la mhimu ni shule za kiislamu kupunguza mafunzo ya ahera, watoto waelimishwe na elimu dunia kwa ufasaha, mkiendelea na elimu ahera watoto wataishia kujifunza namna ya kulipua tu, na kusubiri kwenda kuwa wahandisi huko ahera
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kwani hamna waislam wenye uwezo!?
kwanawake wa kiisilamu na elimu wapi na wapi, ndo maana unacomment utumboTunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
hv kuna muislamu aliyexoma??
Huyo anakaimu tu na yeye tunamtazama, ataendeleza parokia au atabadilika na kubadilisha mambo humo? akiendeleza na yeye hakai.
Hatutazami jina la mtu tunatazama vitendo vyake.
Naona umekasirika. Ndalichako out.
kwanawake wa kiisilamu na elimu wapi na wapi, ndo maana unacomment utumbo
Aisee kwamba akiwekwa muislam atawafaulisha hata yale matoto galasa kabisa kisa tu ni waislam
Na waislam waliofaulu chini ya ndalichako ilikuwaje.!?
hata aibu hamjisikii! mashule yenu ndiyo yanaongoza kwa zero sasa nani awaonee? endeleeni kushika madrasa kulia na tindikali kushoto halafu mseme mnaonewa!
Napendekeza Mufti Simba aliyeishia darasa la saba ateuliwe kushika hiyo nafasi.
Mfumo kristo sasa umeanza kudondoka,maana kumjua adui ni nusu ya ushindi.
Naskia we ni kimada wa sheikh ilunga. Hivi yuko wapi siku hizi? Tumemis uchochezi wake. Hii nafasi inamfaa sana.Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Akiwekwa Muislaam hatutofelishwa kama alivyofanya Ndalichako.
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha