Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,505
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha
 
sasa adui kuu Ponda(std7) bado yupo jelaaaa..
 
Kwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha
Kuna waliomtuhumu Ndalichako kwa kuigeuza NECTA kama Parokia. Has their wish been granted by Charles replacing Joyce? Tusubiri tusikie watasema nini.
 
Sioni tatizo, si yuko likjizo ya masomo na imeonesha kuwa huyo Der, Charles amekaimu, ni utaratibu wa kawaida, hata kama kulikuwa na hofu ya wale wakorofi wachache
 
Sisi wa lile dhehebu tulidhani sasa atawekwa "mwenzetu" kukaimu na baadaye kuthibitishwa, kuna holaaa! Kwa mwendo huu, vita yetu na necta haitakwisha asilani.
Unajuaje kuwa sio mwenzenu? Usidanganyike na jina ... kwani unajua kuwa mh ... ni Muislam?
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Huenda ukawa mfuasi wa Al-Shaabab, hivi akiwa mwislamu atawafanyia mitihani? hapa jambo la mhimu ni shule za kiislamu kupunguza mafunzo ya ahera, watoto waelimishwe na elimu dunia kwa ufasaha, mkiendelea na elimu ahera watoto wataishia kujifunza namna ya kulipua tu, na kusubiri kwenda kuwa wahandisi huko ahera
 
Ili tufanye mitihani ya Madrasa??
kwa mtindo huu hatuendelei manake kesho tutataka mtu wa kabila fulani naye ashike bila kuangalia uwezo wake!

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
 
Pumzika mama wasikupe pressure usizostahili!! Hii nchi hii!!!!!!!
 
Back
Top Bottom