Yathibitika: kuoa wake wengi huongeza umri….!

Yathibitika: kuoa wake wengi huongeza umri….!

Disagree...
Babu na bibi yangu walifariki wakiwa na miaka 84 one wifebone husband.

Ila tukiangalia kwa miaka hii kuoa wwke wengi kuna possibility ya kufa mapema, magonjwa na mikikimikiki ya kutunza wake.
Hapa Mtambuzi....mmmmmm.
Remmy kwa hiyo ina maana huyu atakufa mapema.............?

130.jpg
 
ha ha. najaribu kupata picha
  1. mama ngina
  2. mama king'asti
  3. kongosho
  4. snowhite
  5. .....
mpaka 100. utapata muda wa kufanya kazi au utakuwa unagegeda 24/7
 
Oa wake watano pasua kichwa kama l...1 uone kama hata 38 utafika wewe hii its aplicabo kwa miaka ya nyuma 47yrs baki not this decade Mtambuzi kabla hujapost may you pliz activate your reasoning capacity HAVE ANICE WEEKEND


Kweli eh..............!!!!

tribeca-film-festival-2012-ian-fitzgibbon-death-of-a-superhero-threesome-noscale.jpg
 
Raha unayoipata kwa wake wengi ni ileile ambayo ungeipata kwa mke mmoja. Unapokea sumaku yako inachokivuta na haiwezi kuwa influenced na riziki zilizopo bali mahitaji yako. Ukioa wawili unagawa penzi lilelile vipande viwili na ukioa kumi ni penzi lilelile unaligawa vipande kumi yani ni kwamba hakuna cha juu unachopata. Hata ukitembea nje ya ndoa hupati cha zaidi bali kuathiri penzi la mkeo au mumeo
 
Mtambuzi .. Leo unatudanganya bana.

Kuoa wake wengi haimwongezii mwanaume miaka bali stress tu.. Na hizi stress ndio zitakazomuua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na hii kwa asilimia kubwa sana! kwanza ukiwa na mwanamke mmoja stress zinakua nyingi sana tofauti na ukiwa nao wengi!
Bora wewe umeona mkuu, wengi hapa hawajanielewa wanadhani kuzungumzia kuoa wake wengi ni kwa sababu ya kufanya ngono sana, hapana. Sababu kubwa inaweza kuwa ni ile ya utulivu wa nafsi pia. kuwa na wake wengi ina maana kwamba, mtu ameamua maisha yamchukue yatakavyo na hajali tena.......... Akimtamani mwanamke kuliko kuzini anahalalisha kabisa na kuweka ndani kuliko kuchovya chovya................
 
Mtambuzi .. Leo unatudanganya bana.

Kuoa wake wengi haimwongezii mwanaume miaka bali stress tu.. Na hizi stress ndio zitakazomuua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Meet a Nigerian Islamic faith healer and polygamist man who has made marriage a full-time job, taking 107 brides and fathering 185 children. According to the Los Angeles Times, Bello Maasaba, now 87, is currently married to 86 wives between the ages of 19 and 64. He has buried nine spouses and divorced 12 and his youngest child is one month old. "I get a revelation from God telling me any woman I'm going to marry," the New York Daily quoted Maasaba as telling the Times. "If it wasn't from God, I wouldn't have gone beyond two," he added. The polygamist lives with his family in ......Read More

BelloMaasaba.jpg

Photo Above: Bello Maasaba
masaba_wives.jpg


 
Nimekumbuka Ramadhan Fera Kuti kidume kilichooocha wanawake wengi alio wahi kuwa nao mbali na wake zake na kwenda zake akhera akiwa bado mwenye umri wa ujana
 
ha ha. najaribu kupata picha
  1. mama ngina
  2. mama king'asti
  3. kongosho
  4. snowhite
  5. .....
mpaka 100. utapata muda wa kufanya kazi au utakuwa unagegeda 24/7

Kwani wanawake wamegeuka zege siku hizi kwamba wanabebwa kichwani......

Mimi sitarajii kuongeza mke wala sina mpango huo, ila nimejaribu kuweka haka kautafiti kangu
 
Maisha marefu ni zawadi toka kwa Mungu

Kody Brown married his first wife, Meri, 20 years ago. Three years later he married Janelle, and a year after that he married Christine.
"I just fell in love. Then I fell in love again, and I fell in love again," he says in the opening episode of 'Sister Wives,' TLC's latest reality series about an excessively large family. This one is set in Utah with a polygamist twist.

The Browns and their 12 children are Fundamentalist Mormons, and their faith, as Kody says, likes to "reward good behavior." Why stop with one good marriage when you could have four? (Kody is courting a fourth wife, whose assimilation into the tight-knit circle of sister wives provides the only conflict in a family that keeps reminding us how happy they are.)

"I never wanted to just be married to a man," says Christine, who is pregnant with Kody's 13th child. She's glad to be his third wife because she never wanted to be alone with a husband and the third wife balances out the tension between the first two.
"I always wanted sister wives," she says. "There's too many things I wanted to do, to be free for."

SISTER-WIVES.jpg


Indeed the sister wives work together to raise their plucky children and attend to Kody's sexual needs. The show doesn't waste any time getting to the bedroom dynamics, which are really why viewers are here. Kody is on a rotating schedule of conjugal visits, and the wives make it clear they are not into group sex.

"Christine and Janelle and I each have our own bedrooms, and Kody is welcome in each of those bedrooms," says Meri, the only wife who is legally married to him. "Alone. That's just how it is, we don't go weird."
 
Ngoja na mimi nioe wake wengi nione umri wangu ...lol...
 
lazima ufe mapema kuoa huwezi kukwepa kumega mkate wa uzima,kumbuka wake 2 tu lazima utoke jasho la pua kama unawahudumia kikweli kweli utaishiwa na protini kabisa kwa hao 91,jaribu uone baba Ngina ndo utajua nyau siyo mboga.
 
thubutuuuuuu huyo mke mmoja tu anawashinda hao wengi mtawawezea wapi? We wadanganye tu wenzio....

Au unatengeneza mazingira ntakusemea kwa Mama Ngina
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom