Yathibitika: kuoa wake wengi huongeza umri….!

Yathibitika: kuoa wake wengi huongeza umri….!

thubutuuuuuu huyo mke mmoja tu anawashinda hao wengi mtawawezea wapi? We wadanganye tu wenzio....

Au unatengeneza mazingira ntakusemea kwa Mama Ngina
Ni nani kakwambia naongeza mke...

Usinisingizie bana, huu ni utafiti tu na wala hauhusiani na mimi....................
 
Wewe ni muongo, Je huyu ana umri gani.........?

burkalili3.jpg

Huyyo mzee atakuwa na wanae, kwani kuna mahali panaoonyesha kwamba ni mtu na wake zake??
 
.................Utafiti? mbona hujasema kutokana na hilo wewe umeamua kuoa wananwake wangapi na sasa una wanawake wangapi...
 
Nikizitizama hizo picha zanitamanisha kweri! Nia yangu kuoa wake wengi lakini naogopa kuitwa Kijimbi cha mtaa... Lol.
 
21came600.1.jpg


Imebainika kwamba kuna ukweli mkubwa kuwa wanaume wenye kufanya mapenzi halali kwa wingi au mara nyingi huishi muda mrefu zaidi. Hii ina maana pia kwamba, labda wanaume wenye wake wengi huishi muda mrefu zaidi, kuliko wale wenye mke mmoja.

Kuna wazee wengi ambao ninawafahamu wenye umri mkubwa sana. Lakini nikichunguza kwa makini naona kama wengi kati yao walikuwa au wameoa wake wengi. Inawezekana kuwa hiyo ni nasibu (coincidence)tu ya mambo, lakini kwa sehemu kubwa haionyeshi hivyo.

Ngoja nikupeni mfano wa mzee mmoja kule nchini India. Huyu mzee alifariki akiwa na umri wa miaka 84 kufuatia ajali ya gari hapo mnamo mwaka 2005. Alikuwa ameoa wanawake 91. Mzee huyu, Udaynath Dakhinaray, alianza kuoa mke wa kwanza wakati akiwa shuleni, lakini ndoa yake ilivunjika. Baada ya ndoa kuvunjika alijiapiza kwamba, ni lazima angeoa wanawake 100 katika maisha yake.

Kwa bahati mbaya, wakati akiwa na mke wa 91 alipata ajali ya gari na alifariki baadaye, bila kukamilisha ndoto yake. Lakini kufikia miaka 84 na bado kuwa na nguvu, huenda ni ushahidi kwamba, kuoa wake wengi kuna faida kwenye suala la umri.

Lakini kama ambavyo imekuwa ikisemwa siku zote, afya inayotokana na tendo la ndoa huwajia wale tu ambao wanalifanya kihalali. Hapa naomba Mzee wa Kugegeda mzabzab anisome kwa makini. Usije ukaanza kuhangaika kutafuta umri mkubwa kwa kuparamia vibinti na kuvigegeda, tutakuzika ukiwa kijana mbichi bado.

Hebu jaribu kuvuta kumbukumbu zako uwaweke mawazoni mwako wazee wote unaowafahamu, wawe hai au wawe wamekufa. Halafu jaribu kufikiri ni wangapi wamefikisha umri wa miaka 80. Najua utashangaa kwamba, ni karibu wote walikuwa wameoa wanawake wengi.

Kuna wanaosema, hiyo inatokana na ukweli kwamba, hao wanaooa wake wengi hawako wengi. Ina maana kwamba, fikiria kuhusu wazee wenye wake au waliokuwa na wake wengi, halafu fikiria wale ambao hawana wake wengi, halafu upige hesabu kwa slilimia ya wale walio hai na waliokufa, halafu weka majibu yako hapa.

Hii sikubaliani nayo kabis! Mimi ninaye mmoja lakini hadi navaa helmet kama mpanda pikipiki kulinda kichwa changu asikibomoe, halafu unasema wengi watanirefushia maisha?
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama ni kweli me naona ni kama nasibu tu....
 
Na ukimwambia mama yako mama Ngina kama nimeandika hii makitu humu jF utanitambua......

Mie nalikuwa nafanya resech tu hapa JF kama jambo hilo lina ukweli wowote lakini kwa umbea najua utayapeleka, nakwambia utanitambua nikisikia umesema..............LOL

King'asti asipoyapeleka mimi nayapeleka labda utupeleke vacation week nzima Dubai na kufanya shopping lasivyo bomu lazima likulipukie na nyumba haitakalika lo unataka kuleta vimada nyumbani kijanja janja hivyo,halafu mzee huu utafiti umeutoa kwenye wanzuki au kibuku eeeeh ?
 
Research bado ni invalid coz kuna wa2 wameish miaka ming lakin hawana wake wengi af research imebez kwe sample m1!
 
Nice thread mwanaume kama ataishi na mke mmoja tu ana hesabiwa ni 1/4 ya mwanaume.
 
Mtambuzi....midlife crisis at it peak. Mmmh sasa wanaotaka kuishi miaka mingi ni wanaume tu na wanawake je......?

Huyo Akuku Danger, wake zako wote aliwaacha kwa infedelity naomba unipe jibu what does that implies, its so obvious he could not satisfy their physical needs and they have to seek it somewhere else.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kaka Mtambuzi,
umenikumbusha babu yangu!!!!:confused2:
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeee! wacha nikae pembe niangalie tu kwanza!
 
Back
Top Bottom