Wakaniambia, 'Shemeji piga mzigo…'!

Wakaniambia, 'Shemeji piga mzigo…'!

Ha ha ha ha ha...mkuu hizi zimetukuta sana enzi zile tunasoma..wakati tukiwa o-level, mfano tukienda Weruweru kwa akina gfsonwin kuruka debe...full kujisifia kuwa tunasoma PCB (enzi hizo bonge la combination)...Mara unachanganyia like ila Commerce inazingua na Book Keeping ndo kabisa hatuna walimu wa kutosha..sasa binti akijiuliza PCB yenye Commerce na Book keeping ni ipi?..ebwana wee lazima akukimbize tu..anajua wewe bado njuka...........

Mkuu umenichekesha sana kuhusu hiyo PCB.....LOL
Naamini gfsonwin anakukumbuka sasa
 
Last edited by a moderator:
Bro Mtambuzi wewe acha kabisa hizi mambo...huyu gfsonwin ananifahamu uzuri tu..tulishakumbushana kwenye uzi mmoja hivi..alikuwa na aibu sana..ila bado nakumbuka mikono yake ilivokuwa laini...chezeya mziki wa Old is Gold enzi hizo....lolz

Mkuu umenichekesha sana kuhusu hiyo PCB.....LOL
Naamini gfsonwin anakukumbuka sasa
 
Last edited by a moderator:
kondoo anajileta mwenyewe halafu wewe simba unamwachia aende zake!!! :nimekataa kwenye miti __________. naomba unitumie namba yake
We demu anisheinde, halafu wewe utamuweza....!
Hivi hujui tu mbilinge zangu enzi hizo, waulize kina MwanajamiiOne, Husninyo, gfsonwin, nivea, Neylu, Paloma, madamu B, amu, Zion Daughter, Angel Msoffe, fabinyo, marejesho, Nyamayao, Preta, Mwali, Mrembo by Nature, Zinduna, Kipipi, Asnam, Arushaone, Mungi, Don Mangi, Filipo, Eiyer, HorsePower, Mwita Maranya, Mulama, kipaji halisi, Kaizer, KakaKiiza, Fidel80, Ruttashobolwa, Asprin, Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh... Mtambuzi hii ya kupiga mzigo.. Ngoja niimalizie kesho nikiwa sisinzii.

Leo napita, nimekuja kutizama picha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Bro Mtambuzi wewe acha kabisa hizi mambo...huyu gfsonwin ananifahamu uzuri tu..tulishakumbushana kwenye uzi mmoja hivi..alikuwa na aibu sana..ila bado nakumbuka mikono yake ilivokuwa laini...chezeya mziki wa Old is Gold enzi hizo....lolz
Hata mimi nahisi kuwa huenda niliwahi kumpa lifti gfsonwin wakati huo akisoma hapo Chuo Kikuu maana miaka hiyo nilikuwa kiwembe kweli, yaani nashukuru Mungu sijafa na Ukimwi, ndio maana wazee wanasema ukiona Nyani Mzee jua kwamba amekwepa mishale mingi................LOL
 
hahahahah! wewe nawe huna dogo?? nazidi kukumbuka siku tulofungua mziki pamoja nilibembeaje sasa enzi hizo??
 
ndugai+na+tundu+lissu.JPG
 
Mmmmh... Mtambuzi hii ya kupiga mzigo.. Ngoja niimalizie kesho nikiwa sisinzii.

Leo napita, nimekuja kutizama picha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Bora uaale maana ukisoma usingizin utapotea kwa kicheko.......LOL
 
Hata mimi nahisi kuwa huenda niliwahi kumpa lifti gfsonwin wakati huo akisoma hapo Chuo Kikuu maana miaka hiyo nilikuwa kiwembe kweli, yaani nashukuru Mungu sijafa na Ukimwi, ndio maana wazee wanasema ukiona Nyani Mzee jua kwamba amekwepa mishale mingi................LOL
khaaa! enzi za chuo nilikuwa gfsonwin kweli kweli. acha siku hizi nimezeeka.
nilikuwa na msemo wangu maarufu silimi katikati ya barabara.
 
hahahahah! wewe nawe huna dogo?? nazidi kukumbuka siku tulofungua mziki pamoja nilibembeaje sasa enzi hizo??
Mie nilikuwa nikifungua mziki na msichana lazima nikaanguke naye, sijui kama ingekuwa ni mimi ungesalimika.....LOL
 
Mie nilikuwa nikifungua mziki na msichana lazima nikaanguke naye, sijui kama ingekuwa ni mimi ungesalimika.....LOL

aah wapppy!!
enzi zile kule kukumbatiwa tu na kumlalia mvulana kifuani ilitosha kabisa kumfanya mschana aridhike kabisa tena mkitoka hapo mabarua, post cards na card za kawaida zinafuata za i love you, iss you best wishes etc.
 
ha ha ha ha..ndio maana sikuja white party maana najua ningeambiwa nifungue muziki na wewe (hapo lazima ning-recall enzi za old tu)..chezeya mzee wa machale Mtambuzi ...

hahahahah! wewe nawe huna dogo?? nazidi kukumbuka siku tulofungua mziki pamoja nilibembeaje sasa enzi hizo??
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nahisi kuwa huenda niliwahi kumpa lifti gfsonwin wakati huo akisoma hapo Chuo Kikuu maana miaka hiyo nilikuwa kiwembe kweli, yaani nashukuru Mungu sijafa na Ukimwi, ndio maana wazee wanasema ukiona Nyani Mzee jua kwamba amekwepa mishale mingi................LOL
Kwahiyo utatuhakikishiaje kuwa Zion Daughter ulimfikisha salama?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe we mtoto wa juzi hapa? Hizo nyimbo zimepigwa mwanangu akiwa form two B.
usintishie nyau unless siwajui wanao.
ama unawaongelea wale uliowaacha kibosho wakinywa mataputapu?? manake ndo zilikuwa zenu za vijana wa UMBWE
 
ha ha ha ha..ndio maana sikuja white party maana najua ningeambiwa nifungue muziki na wewe (hapo lazima ning-recall enzi za old tu)..chezeya mzee wa machale mtambuzi ...
mmh! Sasa tungekumbushia enzi zile ingekuwa noma manake lolz!!
Ilikuwa ni full mkumbato na kubembea. Sasa hivi nafikiri utakuwa umenenepa na kupoteza umbo lako la ujana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom